ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

Taarifa ya habari ni yetu sisi watazamaji acheni dharau. Hata mkikata habari za mikutano kwa kuminya taarifa za mikutano yake tusione haisaidii chochote zaidi mnampaisha zaidi.

Huyu mtangazaji aliyeko studio aachi chuki zake yeye ni mtangazaji tu. Mikutano ya ccm imerushwa miwili ni ikapewa full coverage katika habari moja, wa UKAWA mmoja tu na haujazidi hata dakika.

ITV jirekebishe msijishushe hadhi kijin.ga jing.a kwa upuu.zi wa mtangazaji asiyetumia weredi.

JITAFAKARINI.

ITV washasomaaa upepoo mapemaa mnoo magufuli ndie rais wa Tanzania ivoo chadema mahaba endeleeni kutokwa povu ad keshooo k nyieeeee
 
Itv siongei chochote hadi leo saa tano ucku…. nione kulikoni? Then…..
 
Mkuu watu tumejipanga kwenye TV tumwone Lowassa akihutubia. Huenda angetushawishi tumpe kura, matokeo yake hatujamsikia kabisa, kwani huo mkutano ni kumnadi Kingunge.?

Mkuu bado una matumaini ya kushawishiwa kumuunga mkono Lowassa? Kipi hasa unatarajia kibadilike?
 
Duh nimewaaminia watu wa Arusha jamani ni gharika Lowasa atikisa jiji la Arusha yale mamilioni ya watu dah
 
Naangalia ITV saizi picha za arusha mbaya, duni, utafikiri zimechukuliwa na tecno P3, spencer Lameck na ITV vipi? I namaanisha nini hii?
 
Naangalia ITV saizi picha za arusha mbaya, duni, utafikiri zimechukuliwa na tecno P3, spencer Lameck na ITV vipi? I namaanisha nini hii?
una msongo wa mawazo pamoja na Arusha kutokuwa na umeme kijana kafanya kazi nzuri Arusha imezizima salamu tosha kwa makufuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom