ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

Umeandika kana kwamba ITV wamesema hivyo. Chunga sana Mkuu idawa
Mkuu watu tumejipanga kwenye TV tumwone Lowassa akihutubia. Huenda angetushawishi tumpe kura, matokeo yake hatujamsikia kabisa, kwani huo mkutano ni kumnadi Kingunge.?
 
Last edited by a moderator:
Nlichosikia mtangazaji alisema wamelazimika kukatisha baada ya umeme kukatika arusha watarudia baada ya taarifa ya habari
 
M nawatega apa nijue ka itawafikia.. La sivyo da nitahuzunika kwel.,Izi jez za kijan na njano zinaumiza macho
 
Nyokorost wewe umeangalia habari ipi wewe pimbi??? Peleka maskio wakuzibue
 
Si mmesema SUPER BRAND, kulikoni tena?
Acheni kulalamika, mwambieni Lowassa aanzishe chadema Tv, msiwe wapuuzi.
Hawa jamaa wanageuka geuka kama sijui nini. Kwa ufupi ni vigeugeu. Leo ITV ni super brand kesho ITV hiyo hiyo haina weledi. Leo Lowassa fisadi kesho Lowassa huyo huyo sio fisadi. Aisee.
 
jamani kilicho tokea taarifa ya habari leo itv kimemchanganya kila mtu.kutoonyeshwa kwa mgombea urais kimezua manung'uniko kila kona. mgombew wa chadema rais ajae rowasa!.
 
Kwetu hata generator lilikata mara tu mtangazaji aliposema jiji la kitatilii lilisimama kwa muda. Ni shiiiiida
 
mkuu taarifa ya ITV umeifuatilia? umesikiliza vizuri sababu za kutokuonyesha tukio lile? hayo maneno yako ya kuwalisha watu uongo unatoa wapi au unadhani wewe peke yako ndiyo mwenye TV unaweza kutudanganya?? Jipange na lingine hii imebuma.


Ripoti kutoka ITV zinasema sababu za kukosekana Kwa umeme katika Jiji LA Arusha ndiyo lililopelekea kushindikana kupatikana Kwa hiyo taarifa lakini hiyo taarifa inaandaliwa na Itarushwa na ITV itakapokamilika. Acha ge.nye lazima CCM iondoke.


Tatizo LA Umeme Ni hujuma za mafisiem na Oktoba huu upuuzi tutaukataa kwenye sanduku LA kura.
Mkuu mbona taarifa ya Kingunge imerushwa, kwa nini ya Kingunge ipatikane ya Lowasa kama mgombea ishindikane.

Watu tumekaa kwenye TV tumsikie Lowassa, matokeo yake tunaletewa Kingunge, hivi kati ya Kingunge na Lowassa nani habari kwenye mikutano ya UKAWA.
 
Mkutano wa Chadema uliofanyija leo Arusha uliotakiwa kurushwa live ITV kurudiwa usiku huu baada kutokuonyeshwa live sababu ya ukosefu wa umeme. Source ITV news

waongo hao!umeme leo Arusha karibia kata zote haujakatika kwa siku tatu mfululizo!Sinoni umeme ulikuwepo mpaka sasa upo na haukukatwa
 
Mkuu watu tumejipanga kwenye TV tumwone Lowassa akihutubia. Huenda angetushawishi tumpe kura, matokeo yake hatujamsikia kabisa, kwani huo mkutano ni kumnadi Kingunge.?

Nna wasiwasi maskio yako hayafanyi kazi vizuri. Hukusikia kuhusu umeme kusababisha katizo hilo?
 
Kwani Duni naye anafanya mikutano. wao wanarusha ya mgombea uraisi na mgombea mwenza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom