ITV Mnatutengenezea maigizo ya Lowasa

Hamia kwingine. Kwani lazima ITV tuu. Ebo

Sasa Kama Hata Hiyo Tv Yenyewe Anaiangalia Kwa Mtu ( Jirani ) Na Mwenyenayo KAITEGESHEA ITV Tu Na Umwambii Kitu Unadhani Atahamia Wapi Mkuu? Jamaa Hana Jinsi Na Inabidi Aunyuti Tu Kimtindo.
 
Weka picha zote nizione..
 
Chama twawala mmeanza kulialia..na bado.. hivi magufuli yuko wapi?

Magufuli Sasa Anapanga Cabinet Yake Na Huku Akifanyishwa Mazoezi Ya Kuapishwa Na Kukagua Gwaride La Heshima La Makabidhiano Ya Utawala Kutoka Kwa Rais Kikwete Na Tayari Imeshajulikana Ugeni Wake Wa Kwanza Ni Kumpokea Rais Wa Urusi Mwanamume Vladmir Putin Mwezi November Mwishoni au December Katikati Huku Mwezi Wa Kwanza Akihudhuria Kwa Mara Ya Kwanza Mkutano Mkuu Wa UN. Magufuli Anafananishwa Na Lionel Messi " La Pruga " Huku Lowassa Wenu Akifananishwa Na Christiano Ronaldo. Chambua Hapo Utajua Nani Yuko Juu Ya Mwenzake Kwa Sifa Zote ZILIZOTUKUKA Za Kiuchezaji. Na Nasikia NEC Sasa Wanataka Kuja Na Kigezo Cha UPIMWAJI AFYA Kwa WAGOMBEA URAIS WOTE Nchini Tanzania Kutoka Kwa Jopo La MADAKTARI Bingwa Duniani Huku Pia NEC Hao Hao Wakifikiria Kuwepo Na MDAHALO Wa WAGOMBEA URAIS Ambapo Kila Mgombea Urais Atapewa Dakika 75 Za Kusimama Katika Podium Na Kuzungumza, Kumwaga Sera Na Kujibu Maswali Ya Waandishi Wa Habari WALIOBOBEA Na KUTUKUKA Na Kama Itakuwa Ni Kweli Naona Mgombea Wenu Lowassa ATAKAVYOCHOMOA. Kupimwa AFYA Na Kusimama Dakika 75 Kwa Lowassa Ni ADHABU Kubwa Kwake Kama Kumwambia Apande Mlima Kilimanjaro Kifua Wazi.
 
Mkuu mbona unalilia kwani wewe umejipangaje? Kama wewe unahadaiwa na picha za kutengeneza kawambie na wagombea wengine nao watengeneze za kwai ili wakuhadae pia!
 
Pia yaweza kuwa ni moja ya athari ya magoli ya mkono
 
Malimao ni mazuri Kwa kinachokusumbua
 

Hadithi yako inatufundisha nn???
 
wewe ni muongo. na makongoro mahanga ameenda chadema. mtakubali tu
 
Hizi fix hazijaanza leo, wakati wakionyesha alivyowasili Mbeya kwenye kusaka udhamini wa ccm picha zilizowekwa hazikuwa za mbeya zilikuwa za mwanza hapo ndo nikaanza kuchunguza kwa umakini hizi taarifa za ITV.

Wakati wa kusaka wadhamini ndani ya ccm alikuwa anatumia usafiri wa ndege lakini wakasema kapita mikoa yote 31 wakati mikoa mingine haina uwanja wa ndege aliruka kwa ungo?
 
Hizi fix hazijaanza leo, wakati wakionyesha alivyowasili Mbeya kwenye kusaka udhamini wa ccm picha zilizowekwa hazikuwa za mbeya zilikuwa za mwanza hapo ndo nikaanza kuchunguza kwa umakini hizi taarifa za ITV


Wakati wa kusaka wadhamini ndani ya ccm alikuwa anatumia usafiri wa ndege lakini wakasema kapita mikoa yote 31 wakati mikoa mingine haina uwanja wa ndege aliruka kwa ungo
 
Usijifanye ww n wa, zaman sana au ni mtoto sana kiasi kwamba hujui kuwa helicopter hutua popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…