kawaulize na TBC kwanini wanapendelea CCM wakati sio TV ya chama ile
bora hata ITV wanaonyesha habari za CCM ila TBC hawajawahi kunyesha habari yeyote ya UKAWA
Wanalilia vitalu vya gesi walionyimwa na Prof Muhongo....na pia babu EL aliwataja na kuwashukuru ITV na Azam....sijui nini kimejificha hapo ila kwa ujumla ataachia mazingira magumu sana ya kazi. Na Tido nae analipiza kisasi cha kuondoka tbc anasahau mkono wa dola...