A.B.kidiku
Member
- May 30, 2015
- 28
- 4
Ki ukwel hii ndo itakayo7bisha niungane na watz wenzangu kupinga sheria inayokandamiza uhuru wa vyombo vya habar nchini.
Maana yake kibonzo cha leo ITV kilichokua kinaonyesha wagombea wawili wa CCM wakiwa kwenye chombo kimoja na bado wanapigana vijembe huku mgombea wa UKAWA akiwa ameketi pembeni peke yake akiwashangaa.
Huku akiwa kashika daftar na kalamu akiorodhesha madhaif yao.
Hiv ITV wakiungana na TBC taarfa ya habar ya saa mbili raha kama hiz tutazipata?
Nawasilisha.