Baada ya Habari, wanakupa Mshike mshike viwanjani tena kwa kina. Kifupi hatojuta kwakweli.Karibu Azam News
pia kuna golf GymkhanaKwao michezo ni netball tu
Sasa lawama za nini,? Mmiliki kaamua kujisalimisha, sasa hivi yuko relini na muelekeo ndio huo. Acha lawama angalia channel nyingine mbona zipo nyingi tu tena zenye vitu uvitakavyo?pia kuna golf Gymkhana
kweli mkuu sasa hivi angalau Azam wana balanceSasa lawama za nini,? Mmiliki kaamua kujisalimisha, sasa hivi yuko relini na muelekeo ndio huo. Acha lawama angalia channel nyingine mbona zipo nyingi tu tena zenye vitu uvitakavyo?
YapBaada ya Habari, wanakupa Mshike mshike viwanjani tena kwa kina. Kifupi hatojuta kwakweli.