It's seriously issue

We nae yani wafananisha mmiliki wa sheli ama kusomesha mtu varsity na gharama ya
?pizza si buku 15?ama uko secondary na still wategemea wazazi?alichomaanisha mtoa comment ni kuwa onyesha effort kuwa uko serious na unamhitaj huyo gal.
Sema jibu lako limereflect we bado yanki uko skull hata uwezo wa kiuchumi huna so soma,uki maliza find a meaningful job na utapata gal umtakaye .btw mapenzi na pesa huwezi yatenganisha kijana usidanganyike na thread za walalahoi wanaolia kuhudumia wanawake kila leo humu mmu.
 
Wanakutongoza.

Baadaye wanakuletea dharau.

Halafu its a seriously issue badala ya kuwa a serious issue.
 
Kiufupi wanawake wanataka SALARY.
 
TANGAZO UMELIPIA?

LETE NAMBA ZAO HAO TUWAWEKE SAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…