July Ernest
Member
- Aug 6, 2019
- 25
- 12
Akue mara ngapi wakati alishawachungulia wadada 4?Ukikua utajua kwann wanakueka pending na majibu ya hovyo
msaidie basi zile mbinu zako weweAkue mara ngapi wakati alishawachungulia wadada 4?
Msaidie bhana huyu kijana asije kujinyonga.
Wanawake hawatongozwi siku hizi. Mpigie simu tuma vi text vya hapa na pale mtoe out mbili tatu mnunulie pizza mara burger wadada wanapenda kula kula. Muonyeshe unamjali... mwanaume ni effort. Baada ya mda mtajikuta mpo kwenye mahusiano.
Wanawake wana aibu sana huwezi ukamwambia "nakutaka" na yeye akakijibu "nakutaka pia"
Sisi zile mbinu zetu za kukata ngwara naona siku izi zimeingizwa kwenye sheria zinaitwa UBAKAJI.msaidie basi zile mbinu zako wewe
Sisi zile mbinu zetu za kukata ngwara naona siku izi zimeingizwa kwenye sheria zinaitwa UBAKAJI.
Kama unaangaliaga muvi mpe hata mbinu za kwenye muvi.
Duh kwakweli siwezi kufanya biashara yenye hasara. kuna axkal kenya kamxomexha mtoto wakike chuo na kumpa mama yake hela ya matumizi mwisho wasiku mtoto wakike ana dgree anamwambia jamaa huna hadh ya kuwa namim tuachane kila mtu afanye mambo yake nimepata bwana mwingn ni meneja wa sheli kadhaa hapa nairobi. jamaa akamwita home wayaongee yaishe dame alipofika tu karamba risasi 47. yaani ni tundulisu pekee ndio angeweza kusurvive.
Mpe ushauri wa maana huyo mdogo wako kabla hajaharibikiwa, mjini hapa!Akue mara ngapi wakati alishawachungulia wadada 4?
Msaidie bhana huyu kijana asije kujinyonga.
Sisi zile mbinu zetu za kukata ngwara naona siku izi zimeingizwa kwenye sheria zinaitwa UBAKAJI.
Kama unaangaliaga muvi mpe hata mbinu za kwenye muvi.
Hahaha, siku izi wanakwabia nguvu ya pesa inavua mpaka nguo na kufikisha kileleni, nguvu zetu tuzipeleke kupasua mawe.ngwara moja tu chali anakuwa mke hawa wa siku iz ata nguvu za kukata ngwara hawana
Hahaha, siku izi wanakwabia nguvu ya pesa inavua mpaka nguo na kufikisha kileleni, nguvu zetu tuzipeleke kupasua mawe.
Mbinu zangu za kuendesha gari ni za left hand nasikia hazitumiki tena saivi.Mpe ushauri wa maana huyo mdogo wako kabla hajaharibikiwa, mjini hapa!
Ohooh, disco naona limeingia mhadzabe.Enzi zako uliwakata ngwala wangapi?