Its NOT PHOTOSHOPPED NO2

The only possible way ni kuwa hicho kivuli kimechorwa otherwise the whole picture is doctored.
 
The only possible way ni kuwa hicho kivuli kimechorwa otherwise the whole picture is doctored.
Si photoshop mkuu wala haikuwa picha haikuwa altered.

Kwa vile nina picha nyingi ni vema niseme tu.
Hii picha imepatikana kea matumizi ya lights and shades.

Hicho kijko kiliwekwa juu ya karatasi opaque na chini ya karatasi hilo ukawekwa uma directly belowa hiyo spoon.
Chini ya uma mwanga wa taa ulimulikwa na ndio kuonekana kwa shade ya uma katika picha.

Hii imewashinda wote nitweka NOT PHOTOSHOPPED NO3 , karibu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…