sometimes wanaume hatueleweki,mfano mimi ukinisumbua napenda ila niombe then unipe tu mara moja najiuliza sana why?
ha haaaa, huwezi kum-satisfy binadamu.......Wanawake baada ya kwenda shule wamegundua sex is good na ina faida tele kwao...sasa hawasumbui sana cha ajabu ni wanaume ndo tunalalamika eti wanaachia sana...sasa wafanyaje?
Sio kutongoza mkuu,Stupidity kwenye kutongoza au kuchepuka?????!!!
Mkuu hivi unadhani mwanaume anapokuwa analeta sanaa na mabobish mwanamke anakuwa tabula rasa???!!!
Wengi huwa wanakuachia stage utoe shoo ye aburudike tu ila wengi wanaume tunajiona wajaaaanja!!!!!
ha haaaa, ndo maana kuna siku nilileta mada hapa ya kuvaa tule tugauni twa kulalia watu hawakunielewa.....
Kuna mtu natamani apite hapa ili ajue kwa nini naendelea kumzungushaga ingawa tunaishi wote kwa miaka 16 sasa..... kuzungusha kuna raha yake...... siyo sababu alishailipia mahari basi anapata tu kama kama ilivyokuwa lazima kula milo mitatu kwa siku!
Sio kutongoza mkuu,
Kutaka ubaniwe kwanza wakati ukipewa shida yako ndio sawa.
Mwingine akikubaliwa siku hiyohiyo anakimbia
ha haaaa, ndo maana kuna siku nilileta mada hapa ya kuvaa tule tugauni twa kulalia watu hawakunielewa.....
Kuna mtu natamani apite hapa ili ajue kwa nini naendelea kumzungushaga ingawa tunaishi wote kwa miaka 16 sasa..... kuzungusha kuna raha yake...... siyo sababu alishailipia mahari basi anapata tu kama kama ilivyokuwa lazima kula milo mitatu kwa siku!
kwani hata nikikusumbua weeeeeee mwishoni si nitakupa vile vile...........
Kuna ile iman kwamba baadhi yetu tunachepuka ili kutest makali ya kutongoza....just out of curiousity tu...hiyo stupidity sijui afu ujue mwananke na mwanaume wakikaa au kukutana mazingira hatarishi inategemea mtongozane ss usipofanya ivo kesho yake mtaani "anakutangazaaaa"

ha haaaa, huwa nawapenda saaana wanaume ambao na-hang nao, mtu kwa mtu, halafu hanitongozi. Nachukulia kuwa ananiheshimu sana.Kuna ile iman kwamba baadhi yetu tunachepuka ili kutest makali ya kutongoza....just out of curiousity tu...hiyo stupidity sijui afu ujue mwananke na mwanaume wakikaa au kukutana mazingira hatarishi inategemea mtongozane ss usipofanya ivo kesho yake mtaani "anakutangazaaaa"
ha haaa, sema tu rafikiUmenithibitishia jambo ......
Lakini wacha nilimezee tu!