Its just a stupid male desire, but we can't deny its there

Pia uwezekano wa serious commitment kwa mwanamke toka kwa mwanaume huweza kuongezeka pindi huyo mwanamke anapo banabana kwa sababu udadisi utamjaa mwanaume.
Anajiuliza yani ni kwanini akatae? Kuna nini? Ana nini? Kama ndo mwanaume yuko kwenye ndoa basi anaanza kuamini makali yake ya kutongoza yameisha na atakomaaa mpaka ajiaminishe kuwa bado yumo kwa kukubaliwa.

Nadhani kuna zaidi ya kutaka na (kupewa ama kukataliwa) kwenye kutongoza, kuna hisia nyingi tofauti

Kabisa kabisa na ujue tunaeza kusubiria hata miaka saba kama Yakobo na Raheli

Cc Fixed Point Kongosho
 
Last edited by a moderator:
hawa wa cku izi kukubania kidogo kuko ktk mfumo wa kiujasiliamali zaidi!!! mpaka akupe ushatoboka mfuko vya kutosha alafu cjui wanahadithiana maana cku izi wote mwendo ndo huu alafu technic zinafanana, mara ela ya saloon, mara cmu imedumbukia kwa maji ii ninayotumia ya dada angu, mara kuna msiba natakiwa nisafir, mara naumwa sina bima, mara nimechukua pochi kwa mkopo mda wa kulipa umefika sina ela, mara natakiwa nimtumie mdogo wangu anasoma boarding ana shida sina m pesa, mara ela ya matumiz nk the list is endless c muwe kama mama zao kumzungusha mtu ni kwa kutoonekana ovyo mtaani si ujasiriamali!!!!
 
Maisha yenyewe siku hizi ni voda fasta. Wakati mwingine mwanamke hajui kama abane kwanza au aingie moja kwa moja. Anaweza kubana kesho akakuta kijana kalianzisha sehemu nyingine akabaki anajiulaumu. Anaweza kukubali kirahisi lakini akakuta kijana mwenyewe hamna kitu. Wakati mwingine haya mambo hayana formula maalum kama ndoa ilivyo kama ajali!
 
Rafiki irakuwa unawaangalia kwa jicho la "we niguse uone" lol
hapana rafiki..... mimi ni friendly sana na napenda kuwa free. sasa mtu asiponiangalia kwa jicho jingine nakuwa free sana na ku-have fun, mambo mengine yakiingia tu yananikatiza furaha yangu na najiona mnyonge sana
 
hapana rafiki..... mimi ni friendly sana na napenda kuwa free. sasa mtu asiponiangalia kwa jicho jingine nakuwa free sana na ku-have fun, mambo mengine yakiingia tu yananikatiza furaha yangu na najiona mnyonge sana

Hahaaa basi rafiki kumbe siri yako ndio hiyo kama ya delila....
 
Wanawake baada ya kwenda shule wamegundua sex is good na ina faida tele kwao...sasa hawasumbui sana cha ajabu ni wanaume ndo tunalalamika eti wanaachia sana...sasa wafanyaje?

hahahaaaaa kwenye zile mada za kwenye biology...
 
Weeee ishia hapo hapo! !!!!!

Usiwe msumbufu ila uoneshe uwezo wa kuchuja maombi na kuweza kuongoza mijadala inayohusiana na ombi lililoletwa yaani rationale, significance na kama hayo sio buruza twende asee utadharaulika my dada!!!!!!

HAhahaaaaaa ulivyonambia kwa msisitizo lol

sa kwa mfano mtu nilikuaga nampenda siku nyingi sema kumwambia siwezi
mara nae huyo ndio akaja nikakubali hiyo hiyo siku nayo ni mbayaaaaa
 
Back
Top Bottom