PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 1,998
Kwa mfano sasa, mwanaume unammendea dada fulani. Huna lolote kuhusu future naye zaidi ya kutaka tu kum... then
usepe zako ( :smiling: ).
Ofkoz kwenye negotiation, follow up na usumbufu na yeye unajitahidi kuficha true intentions (wengine ni wasanii wazuri sana hapa).
Bidada naye kabla hatujadiscuss whether anaelewa unahitaji kipi toka kwake ama kadanganyika.
Unakuta na yeye labda anataka m.... then kila mtu asepe na anajua fika maneno yako usanii mtupu.
Sasa ili lengo lifikiwe anabana kimtindo kisha baadae anadanganyika/ anajifanya kudanganyika.....
Sasa kiukweli naona kubana kumepungua sana nowadays.
Hata zile sifa za wanaume kuuza maneno mpaka mdada anakubali hazipo tena. (To be honest naona inavutia sana ukibaniwaa kisha baadae ndo upewe)
Hata huku kwenye ndoa naona kama tunazoea na kuboreka kwa sababu ya , kwanza kumuona mkeo chiu mara nyingi kunapunguza mvuto, kisha unakuta whenever ukitaka unapata bila jasho lolote.
Some men nadhani wanarudi tena kupambana huko michepukoni ili kuupata tena ule usumbufu na kuzungushana na ile hisia ya ushindi baada ya kupata. Wengine wanavumilia njia kuu na sexlife ya ndoa inapoa.
Its just a stupid male desire, but we can't deny its there
(Ndo nliyokuwa nayawaza leo on the way kwenda kulijenga taifa letu )