Itel A12 flasher na ROM hii hapa nimeleta tena solution

Itel A12 flasher na ROM hii hapa nimeleta tena solution

fredj2

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
235
Reaction score
94
HIZI SIMU ZA ITEL KUGANDA KWA LOGO IMEKUA TATIZO SANA WATU WANASHIDWA KULITATUA SOLUTION NYINGINE HIII HAPA NINAZO KAMA 4 SOLUTIONS.. ANGALIA NILIVO FLASHING DONE...
itel%2Ba12%2Bhang%2Bon%2Blogo%2Bfix.jpg

DOWNLOAD SPECIAL FLASHER NEW SOLUTION FIX ITEL A12 STUCK ON LOGO 2018 TESTED 1000000000000% | MBEZItZ na
DOWNLOAD FIRMWARE FOR ITEL A12
 
Mbona inaomba password niki-extract?
Jukwaa la tech kila kitu ni free. Kama ni biashara ni bora ungepeleka jukwaa la biashara.
 
Mbona inaomba password niki-extract?
Jukwaa la tech kila kitu ni free. Kama ni biashara ni bora ungepeleka jukwaa la biashara.
Simu kama iyo unayo???wapi kumewekwa bei mkuu
 
Km siyo biashara. Tupe password
Na Mungu atakubariki. Kuna wakati unajizibia ridhiki ww mwenyew. Ww kila kitu hela.
Watu wenyew roho nzuri wametengeza sotware buree km Splash tool, upgrade n.k halafu sasa kuonesha wao wana roho nzuri zaidi wamecrack miracle box, nck, avangers n.k ili kuwapa watu wasiokuwa na uwezo na zote zinapatikana bureeee ni ww na bundle lako tu lkn miafrika hiyo hiyo crack inayotolewa bure yy anauza.
Ndiyo maana wafrika kwenye masuala ya tech tupo nyuma sana tena sana.
 
mkuu wapi nilipoandika bei????kuandk unitafute aina maana kwmba naitaji pesa
 
mkuu wapi nilipoandika bei????kuandk unitafute aina maana kwmba naitaji pesa
Maelezo ya kuflash yamekamilika. Sasa hapo unaposema tukutafute ndiyo hela yenyew na file umeweka password. Unategemea mtu akutafute umpe password bila kumtoa hela?
Haujaweka bei lkn mbona file linapassword? Mtu akikutafute unampangia bei 20,000.
 
Mwenye unclock file za halotel model hizi msaaada pliiz
h6301
h6302
h6307
h6308
h6309
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom