Mwaka jana nilichaguliwa kujiunga na chuo kmoja hapa tz, nilienda nikasajiriwa then nikaomba kuahirisha nikakubaliwa kwa mwaka 1 maanayake ilitakiwa niende 2015/2016, mpaka muda huu nmeshindwa kwenda kwa sababu ya matatzo ya kiafya na sijatoa taarifa.
Je nikienda mwakani ntakubaliwa? barua za kukubaliwa kupostipone ninazo mpaka sasa.