Hiyo ni athari moja uliyoiona ongeza na makatibu tarafa kwenye List yako. Lakini hawa wakiondoka watawekwa wengine ambao si wa CCM au tunabadili mfumo kwenye mchakato wa kuandika katiba mpya?Itakuwa shangwe na vigelegele kwa wapenda maendeleo na haki na vilio na kushaga memo kwa wachumia tumbo (Wakuu wa Mikoa na wilaya, Mabalozi, Wenye vyeo vya kugawiwa na Rais hata kama huna sifa)
Katika mchakato wa Katiba mpya mimi napendekeza kama wakuu wa mikoa na wilaya wanatakiwa basi Wachaguliwe na wananchi wa mikoa hiyo na wawe wanakaa katika mikoa au wilaya hizo.Hiyo ni athari moja uliyoiona ongeza na makatibu tarafa kwenye List yako. Lakini hawa wakiondoka watawekwa wengine ambao si wa CCM au tunabadili mfumo kwenye mchakato wa kuandika katiba mpya?
Na kama wakuu wa wilaya na Mikoa watachaguliwa na wananchi, jee sifa za kuwa wilaya au mkoa ziwe hizi sasa au tutafute nyingine na ziweje?Katika mchakato wa Katiba mpya mimi napendekeza kama wakuu wa mikoa na wilaya wanatakiwa basi Wachaguliwe na wananchi wa mikoa hiyo na wawe wanakaa katika mikoa au wilaya hizo.
nabii si lazima awe mzee,,,,,,.......jeshi litakabidhiwa nchi kwa kisingizio cha hali ya hatari///////heri mie kimyaaaa,ccm wakifikiria hapo ndio huwa wanachanganyikiwa. 'eti tuwe wapinzani? Si aibu hii?' hakika nawaambia, heri kuwa poromoted kuliko kuwa demoted! Ccm wakijua fika mwanzo wao wa kuwa wapinzani umekaribia tusishangae kusikia siku jeshi limekabidhiwa nchi kwa kisingizio cha hali ya hatari. Hiyo ndio mbinu ya mwisho ya ccm kwa kuwa wanategemea siasa kuishi