assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Hivi anazungumzia nini, cjamwelewaMtakuja kwenye meza ya mazungumzo mkiwa na bendeji na plaster,HAPA KAZI TU
Mtakuja kwenye meza ya mazungumzo mkiwa na bendeji na plaster,HAPA KAZI TU
mkuu hivi unazungumzia nini?Mtakuja kwenye meza ya mazungumzo mkiwa na bendeji na plaster,HAPA KAZI TU
Hivi anazungumzia nini, cjamwelewa
Kwa wale wzpinda muumivi wakashirikknapenda kusema ni vizuri tena inapendeza kuwaunga polisi katka UTII WA SHERIA BILA SHURUTI.
naunga mkono tamko la polisi kupiga marufuku nikutano yote ya kisiasa nje au ndani.
polisi kwa weledi waliweza kuzuia mkutano wa Act pia ndani ya makaomakuu ya chama.
polisi kwa mabomu na nagari ya kuwasha walizuia mkutano wa chadema kule kahama pia mbowe kukatazwa kuwapa hi masela wa kitaa.
pia polisi kwa weledi wakazuia mahafali ya wanachadema kule Dodoma,moshi nk.
HOJA YANGU TUNAOMBA BAVICHA KAMA POLISI JAMII WAUNGWE MKONO KUZUIA UVUNJAJI WA TAMKO LA POLISI AMBAPO TAREHE 23 JULAI KUNA TUKIO LA KISIASA.
TUNAWAOMBA POLISI KUTUMIA POLISI JAMII(wananchi=bavicha) kushirikiana ili kuzuia uvunjifu wowote wa agizo la jeshi la polisi.
NAUNGA MKONO UTII WA SHERIA BILA SHURUTI.
CCM WATII SHERIA ZA JESHI LA POLISI BILA SHURUTI WAAIRISHE MKUTANO WAO MPAKA POLISI WATAKPORUHUSU MIKUTANO YA KISIASA.
Kwako amri halali ya polisi kuzuia mikutano ya yote ya siasa, haina maana tena?Mtakuja kwenye meza ya mazungumzo mkiwa na bendeji na plaster,HAPA KAZI TU
Usikimbie hoja.Mtakuja kwenye meza ya mazungumzo mkiwa na bendeji na plaster,HAPA KAZI TU
South Africa wangeogopa maumivu kama wewe wangekuwa wapi?Kwa wale wzpinda muumivi wakashirikk
MUNGU akipenda Tarehe 23 nitakuwa PEMBA nakula UROJO ,
sheria zifuatwe kwa wrote ubaguzi ni dhambi mbaya sanaUpendeleo wakisema wamezoea hao
Sasa watu kama hawajui kwamba kuna chama tawala na vyama vya upinzani ni hatari tupu. Yaani chama kinachotawala unakilinganisha na chama kinachotawaliwa. Yaani anayetawaliwa anakosa adabu na heshima kwa mtawala halafu anategemea asipate adhabu kali. Eti demokrasia ni kuruhusu watu wakose adabu na heshima kwa watawala. Eti uhuru wa kuongea uliotajwa kwenye katiba ni uhuru wa kuropoka.
Wananchi katika uchaguzi mkuu wa 2015 walikichagua CCM kuwa chama tawala hadi 2020. Hivyo ni wajibu wa polisi kuhakikisha kuwa CCM inatawala kama ambavyo wananchi walichagua.
Ni obvious atakayetaka kuleta fyoko fyoko kuzuia mkutano mkuu wa chama tawala atajuta maishani yake yote. Atakachokipata ni zaidi ya kile cha mwandishi wa kifaru!!!
dangeroussheria zinafanya kazi kwa wapinzani tu