Kaza vizuri qualifications zinazohitajika kwenye tangazo kama zinafanana na zako ulizojaza .......
mara nyingi ukijaza "related course " hua unakataa ......ndo shida ya hiyo system. ....huwa inahitaji exactly course...
Lakini pia kama Kada unayoapply wanahitaji form four na Cheti ....wewe umejaza mpaka form six na chuo huko inakataa pia....nahic unakua ume overqualify ......