IT Systems and Network Analyist required

Atueleze amepata wapi hayo maelezo ameyapata wapi? atupe link km ni kwenye mtandao. Mkuu vipi unataka kukusanya CV za watu nini?
 
Mkuu hapa haimaanishi mtaala wa CISCO/HPQ or anything else, MachoMakavu anamaanisha Networking as a subject among other subjects,na baadhi ya college mnaingia Net-Laboraory kabisa. CISCO/HPQ & nyenginezo ni kampuni ambazo zina devices(e.g. Routers & Switches) zake zinazodeal na mambo ya Networking,hizo devices zao zina-operate kitaalamu na ndo maana wanatoa mafunzo ya namna ya kuzi-configure, ku-operate,ku-troubleshoot etc. Mafunzo hayo yana levels na unapofuzu level husika then unakua certified(e.g. CCNA, CCNP, CCIE). Sasa unapokuwa umesoma na kujua "What is Network/Networking?",fundamentals & all those things,then inakuwa rahisi Kujifunza hizo course za CISCO etc.

Na ndo maana inashauriwa kuwa na Diploma/Adv.Diplo/Bsc/B Eng in Comp/IT ili kurahisisha usomaji wa course hizo. Hapa experience haina deal kivile,ila experience is recommended between the levels of certification,i.e Una CCNA kwa mfano,fanya kazi za level hiyo kwa mda b4 moving on to CCNP. Likewise for the CCNP, CCIE etc.
Mimi nina CCIE...
 
Mimi nina CCIE...

Kuna level nyingine inaitwa kama Senior Architecture Designer kama sijakosea,ukimaliza CCIE unaweza kujifunza hiyo kitu. Hii haiishii hapo,CISCO wana course nyingi zinazo-deal na mambo ya Voice(CCVP), ISP, Netwoking... Tembelea website yao utapata kila info. Shule haimaliziki ati!!
 
Mkuu hapa haimaanishi mtaala wa CISCO/HPQ or anything else, MachoMakavu anamaanisha Networking as a subject among other subjects,na baadhi ya college mnaingia Net-Laboraory kabisa. CISCO/HPQ & nyenginezo ni kampuni ambazo zina devices(e.g. Routers & Switches) zake zinazodeal na mambo ya Networking,hizo devices zao zina-operate kitaalamu na ndo maana wanatoa mafunzo ya namna ya kuzi-configure, ku-operate,ku-troubleshoot etc. Mafunzo hayo yana levels na unapofuzu level husika then unakua certified(e.g. CCNA, CCNP, CCIE). Sasa unapokuwa umesoma na kujua "What is Network/Networking?",fundamentals & all those things,then inakuwa rahisi Kujifunza hizo course za CISCO etc.

Na ndo maana inashauriwa kuwa na Diploma/Adv.Diplo/Bsc/B Eng in Comp/IT ili kurahisisha usomaji wa course hizo. Hapa experience haina deal kivile,ila experience is recommended between the levels of certification,i.e Una CCNA kwa mfano,fanya kazi za level hiyo kwa mda b4 moving on to CCNP. Likewise for the CCNP, CCIE etc.

Nadhani aujanielewa kijana anasema amepata CCNA akiwabado yupo chuoni na bado ajamaliza ndio mimi nikamshahuri kuwa sio vizuri kwani hii kitu imekaa kipractical zaidi na sio NGUIN, Ila siku kataaa kuwa ukiamia kusoma unaweza kufaulu hata ukiwa chekechea.
 
Ndugu, wana JF, hiyo kazi ni nzuri and i think everybody especially those people who studies IT, CS, AND Engineering wataipenda sana ila vigezo vilivyotolewa wengi tutashindwa sababu Hiyo ccna hata nikiwa kwa ofisi naweza soma ishu ni arrangement tu na mkiweka experience ya 2 up to 3 yrs mtatuua wana JF, ambao tupo mbioni kugraduate......!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom