Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Inategemea unataka kusomea kitu gani. Unataka ufanye proffesional course,diploma au bachelor degree?Kwa kuanza, naomba uni fahamishe college gani nzuri ya kuji funza I. T? Kwa Dar, sbbu mi npo mkoani
The best college is GoogleKwa kuanza, naomba uni fahamishe college gani nzuri ya kuji funza I. T? Kwa Dar, sbbu mi npo mkoani
Sijakupata hapo..Unataka kusomea Secretary course?? Au nimeelewa vibayaSecretary,proffeional corse