IT proffesional looking for job

IT proffesional looking for job

Troubleshooter

Senior Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
130
Reaction score
150
Habari wakuu, hopefully mko vizuri na mnaendelea na michakariko ya maisha sehemu mbalimbali za nchi yetu mkilisukuma gurudumu lamaendeleo.
Mimi ni kijana mwenzenu ninaye tafuta ajira. nina degree ya Computer Science kutoka udsm, nimesha wahi kuajiriwa kama ICT officer kwenye institution kadhaa pia nimesha wahi kuwa trainer wa ICT courses hivyo nina experience ya kutosha.
Ninaomba kwa mdau yoyote ambaye anaweza kunipa mwanga aukunionyesha njia ya ajira katika kada yangu kwenye ofisi zozote nitashukuru sana. Kwani kwa sasa sina ajira na nimejaribu kutafuta bila mafanikio
Natanguliza shukrani na naamini hakuna kitakacho shindikana.
Ahsante
 
Pa1
 
Jaribu kutembelea ofisi za KK Security au WORRIOR security kuna kipindi walikuwa wanahitaji watu wa kada hiyo..
 
Habari wakuu, hopefully mko vizuri na mnaendelea na michakariko ya maisha sehemu mbalimbali za nchi yetu mkilisukuma gurudumu lamaendeleo.
Mimi ni kijana mwenzenu ninaye tafuta ajira. nina degree ya Computer Science kutoka udsm, nimesha wahi kuajiriwa kama ICT officer kwenye institution kadhaa pia nimesha wahi kuwa trainer wa ICT courses hivyo nina experience ya kutosha.
Ninaomba kwa mdau yoyote ambaye anaweza kunipa mwanga aukunionyesha njia ya ajira katika kada yangu kwenye ofisi zozote nitashukuru sana. Kwani kwa sasa sina ajira na nimejaribu kutafuta bila mafanikio
Natanguliza shukrani na naamini hakuna kitakacho shindikana.
Ahsante
Nenda kampuni moja ya mhindi iko Kamata inaitwa Computer Sales n Services, CSS hutokosa kazi pale
 
Back
Top Bottom