I stand to corrected, lakini hili lishawahi kujadiliwa kwa upana, urefu, ufupi, unene, wembamba, udini, urangi, n.k. hapa JF. Tatizo sikumbuki ni lini na siwezi kufukua uzi huo.
Hata hivyo, kwa kuangalia kinachozalishwa na "fomu siksi" zetu za siku hizi, nadhani mfumo huu utatupatia kilicho bora zaidi.
Kwa ufupi, ningekuwa na Mtoto, akahitimu Kidato cha Nne, akachaguliwa kwenda "fomu faivu" ya Serikali, ningempeleka St. Joseph kwa mfumo huo!