Troubleshooter
Senior Member
- Mar 30, 2016
- 130
- 150
GStar Services ni Kampuni inayotoa ICT Services iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Inatangaza nafasi ya kazi ya IT and Graphics designer kwa kazi ya full time.
Kwa mwenye nia ya kazi hii atume CV peke yake kwenye email ya gstarservicestz@gmail.com.
Deadline ni tarehe 24/05/2024.
Maelekezo zaidi tembelea Instagram page yetu @gstar_services
Kwa mwenye nia ya kazi hii atume CV peke yake kwenye email ya gstarservicestz@gmail.com.
Deadline ni tarehe 24/05/2024.
Maelekezo zaidi tembelea Instagram page yetu @gstar_services