Isuzu Wizard iko sokoni

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Bei million 9.5 ipo Arusha imetembea kilometer 170000 kwa mawasiliano 0767 931 887
 
Attachments

 • 1402934240060.jpg
  1402934240060.jpg
  49.5 KB · Views: 233
 • 1402934291040.jpg
  1402934291040.jpg
  86.5 KB · Views: 182
 • 1402934347100.jpg
  1402934347100.jpg
  64 KB · Views: 186
 • 1402934414461.jpg
  1402934414461.jpg
  44.7 KB · Views: 171
 • 1402934514874.jpg
  1402934514874.jpg
  53.9 KB · Views: 174
Bei million 9.5 ipo Arusha imetembea kilometer 170000 kwa mawasiliano 0767 931 887

Hiki kitu hua kinatambaaga na Road kama hakina akili nzuri, kundi lao yuko Nissan Terrano na Hilux Surf.

Yaani kwa wapenda speed lakini yenye usalama hapa ndio penyewe, njiani unafanya kuzipanga gari kushoto moja baada ya ingine.
 
Mimi ninayo ISUZU WIZARD imetembea 110,000kms, nimeiingiza nchini tarehe 02/05/2014 Naiuza maana nataka kusafiri nje ya nchi kimasomo mwezi wa 9 (Bei 8m tu), nimelipa kodi zote ila bima bado. Gar ipo Arusha (Sakina)
 
Attachments

 • IMPORT.jpg
  IMPORT.jpg
  38.8 KB · Views: 192
Mimi ninayo ISUZU WIZARD imetembea 110,000kms, nimeiingiza nchini tarehe 02/05/2014 Naiuza maana nataka kusafiri nje ya nchi kimasomo mwezi wa 9 (Bei 8m tu), nimelipa kodi zote ila bima bado. Gar ipo Arusha (Sakina)

unayo kweli au unamwaribia biashara mwenzio.maana naona picha uloweka ni ya japan wala si ya sakina!
 
Mimi ninayo ISUZU WIZARD imetembea 110,000kms, nimeiingiza nchini tarehe 02/05/2014 Naiuza maana nataka kusafiri nje ya nchi kimasomo mwezi wa 9 (Bei 8m tu), nimelipa kodi zote ila bima bado. Gar ipo Arusha (Sakina)

Sasa mbona picha yenyewe sio ya Sakina bali Japani, ina maana gari hilo bado halijawasili na unaliuza juu kwa juu !!
 
Sakina siku hizi ni Mke wa Mtu, picha yake nitaipataje?

Unapojua kuongopa, ujue pia kukumbuka. Sakina sio mke wa mtu bali wake na mabinti wa watu kwa Sakina ni mmoja tu ??? Mimi nimemaanisha eneo linaloitwa Sakina, Arusha halina bahari, gari unayotaka kuniuzia ambayo umepigia picha na kusema iko Sakina Arusha ilihali inaonyesha kuna bahari. Kuna kipindi kwenye interview mtu aliulizwa amesoma chuo gani akasema Chuo cha Ualimu Mtwara, alipoulizwa alikuwa anatumia usafiri gani kwenda Chuoni akajibu treni. Sasa na wewe Sakina, Arusha na bahari wapi na wapi
 
Back
Top Bottom