Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,226 Reaction score 24,576 Sep 4, 2013 #1 Wadau heshima mbele!naomba mwenye uzoefu wa magari tajwa hapo juu...Isuzu Birghoni Vs Rav(Old Model-1995-98) 4;Ipi kati ya hizo zinaweza kupiga mzigo kwa muda mrefu na ina gharama za chini za uendeshaji !kwa Mjasiliamali wa kati?naomba msaada wadau!
Wadau heshima mbele!naomba mwenye uzoefu wa magari tajwa hapo juu...Isuzu Birghoni Vs Rav(Old Model-1995-98) 4;Ipi kati ya hizo zinaweza kupiga mzigo kwa muda mrefu na ina gharama za chini za uendeshaji !kwa Mjasiliamali wa kati?naomba msaada wadau!
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,973 Reaction score 30,155 Sep 4, 2013 #2 Rav 4 hapo Ndo poa
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Sep 4, 2013 #3 Shark said: Rav 4 hapo Ndo poa Click to expand... Mkuu hata ukiambiwa umshauri mtu kati ya mkate na maandazi ale nini bado utasema mihogo ya kuchemsha. Khaaaaaaaaaa
Shark said: Rav 4 hapo Ndo poa Click to expand... Mkuu hata ukiambiwa umshauri mtu kati ya mkate na maandazi ale nini bado utasema mihogo ya kuchemsha. Khaaaaaaaaaa