Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,700
Well, ngoja nielekee Stanbic Bank...Of course honey
Naona SkyEclat amenitunuku kazi kwako mzee AsprinNgoja nicheki na Sky Eclat nione kama atakatunuku...
Tumia pesa hiyo ,ukimiliki hiyo kitu inakupa hamasa yakutafuta pesa nyengine nyingi zaidi.
Pole sana mkuu hawa jamaa wanarudisha watu nyumaHii gari ulaji wa mafuta hadi raha, nilikuwa nacho bahati mbaya nikaibiwa,umenikumbusha machungu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, iliniumiza sana lakini ndio hivyo tena, najichanga nichukue km hiyohiyo
Nipo mkuu huenda ukikamilisha kudunduliza nikawa na nzuri kwa bei nzuriAsante mkuu, iliniumiza sana lakini ndio hivyo tena, najichanga nichukue km hiyohiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifahamu mkuu,labda watujuze wengine.Hivi tawi la masdo bado lipo?
Nikafanye michakato.
Usijali nitakutafuta mkuuNipo mkuu huenda ukikamilisha kudunduliza nikawa na nzuri kwa bei nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali boss unaweza kuzungumza na wala haiwezi kua roho mbaya,nitaichukua kama changamotoDah.....bei ya wahindi naogopq kutaja. Unaweza kuniona roho mbaya ninao enewei. Info is power!