J33 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 1,552 Reaction score 1,520 Mar 26, 2015 #21 Hivi vigar ni vizur sana kwa town trip hasa kwa mtu mwenye uchumi wa kawaida.. Swala la kuuza nadhani ni la kawaida watu wanabadilika wakati flan mtu anatumia gari anaichoka hata kama haina tatizo anauza ananunua nyingine.
Hivi vigar ni vizur sana kwa town trip hasa kwa mtu mwenye uchumi wa kawaida.. Swala la kuuza nadhani ni la kawaida watu wanabadilika wakati flan mtu anatumia gari anaichoka hata kama haina tatizo anauza ananunua nyingine.
Issa SLuu JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 2,303 Reaction score 1,804 Mar 26, 2015 #22 khaliciouz said: Ist going cheap 6 mil tu Mileage 120,000 Number b Call/ whatsap 0713774746 IPO dar Click to expand... M.4 vp haiendi.....
khaliciouz said: Ist going cheap 6 mil tu Mileage 120,000 Number b Call/ whatsap 0713774746 IPO dar Click to expand... M.4 vp haiendi.....
M MATAKATAKA Senior Member Joined Jun 19, 2013 Posts 126 Reaction score 52 Mar 27, 2015 #23 kawauzie mataira wenzako, we mtu unatoa tangazo hata picha huweki sasa hapo unategemea nn?
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,896 Reaction score 5,259 Mar 27, 2015 #24 kununua gari mtandaoni is so risk. Interpol watakuhusu
khaliciouz JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 579 Reaction score 212 Mar 30, 2015 Thread starter #25 ipo mbezi ya kimara
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Mar 30, 2015 #26 warumi said: HAyo magar toka yaingie kwenye promotion sina hamu nayo Click to expand... Ha haha ha ha ha. We si mzima kweli.
warumi said: HAyo magar toka yaingie kwenye promotion sina hamu nayo Click to expand... Ha haha ha ha ha. We si mzima kweli.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Mar 30, 2015 #27 Apologise lady said: Watu wengine bhana, kama hununui si pita kimya. maneno maneno ya nini sasa loh! Click to expand... Ndo kawaida ya wapiga domo dada
Apologise lady said: Watu wengine bhana, kama hununui si pita kimya. maneno maneno ya nini sasa loh! Click to expand... Ndo kawaida ya wapiga domo dada
abour JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 735 Reaction score 311 Apr 5, 2015 #28 Kula m4 kiongozi,.
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Apr 5, 2015 #29 Mtaani kwe2 inaitwa Airtel mtegesho....