IST inauzwa

IST inauzwa

nadori

Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
99
Reaction score
63
IST iliyotunzwa vizuri inauzwa kwa bei nzuri,nyaraka za umiliki zote zipo.
AINA YA GARI:Toyota ist
LOCATION; Dar es salaam
REG NO; T 689 DGW
cc:1490

Mwaka:2004
BEI;8.9million (Maongezi yapo)
MAWASILIANO; 0719308160


Attachments:
 

Attachments

  • IMG_20180804_193801.jpg
    IMG_20180804_193801.jpg
    170.8 KB · Views: 79
  • IMG_20180806_114135.jpg
    IMG_20180806_114135.jpg
    261.8 KB · Views: 64
  • IMG_20180806_114153.jpg
    IMG_20180806_114153.jpg
    232.2 KB · Views: 68
  • IMG_20180806_114210.jpg
    IMG_20180806_114210.jpg
    221.3 KB · Views: 59
  • IMG_20180806_114126.jpg
    IMG_20180806_114126.jpg
    241.8 KB · Views: 61
  • IMG_20180806_114205.jpg
    IMG_20180806_114205.jpg
    217.6 KB · Views: 63
Juzi kati timetafuta ist ya 7M, tumepata tabu sana.
Mwishoe tukapata msukuma huko mwanza ana matatizo kibao katipa kitu kipyaaaaaaaaa.

Yani ile gar jamaa mpk kesho anajuta kwani ilikuwa na miez 9 tu
 
Imepigwa rangi mara ya pili baazi ya maeneo mkuu, shusha bei
Mkuu inaonekana hivyo sababu ya ubora wa kamera ilipigwa usiku nakuhakikishia haijapigwa rangi iyo gari kwani haijatumika sana, kuhusu bei nicheki kwa namba hiyo tuyajenge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom