Israeli Startup Makes World's First Mobile Printer

Kuna watu watadiscredit just because its from ISRAEL. .

huwa unatembelea kickstarter lakini? nenda kaone watu wanavyopinda technology, siyo kiprinta hicho kinawatoa macho! I dont give a fck who the inventor is! hiyo project niliiona wakati ndiyo imeingia, concept iko vizuri, lakini practicality siioni! Wewe kama unashangilia kwa sababu wamevumbua Waisrael hiyo ni shauri yako na racism yako, mimi huwa siangalii nani kaleta wazo, huwa naangalia uhalisia wa wazo.
 
Cha kwako kipi ulichokigundua mkuu hadi udharau vya wenzako?
 
Na ijulikane wazi kuwa, wale wote wanaomtumikia Mungu wa Israeli (Jehovah), wanakuwa na upendeleo wa kiungu (Divine Favour) kiasi kwamba maadui zao hufanyika kuwa mikia na wao kuwa vichwa siku zote, katika Jina la Yesu. Amen
Hujui kwamba waisraeli ndio walimuua yesu Na ukifika kule wakristo ni wachache sana tena ni wageni nenda kasome sio unaleta vitu vibichi
 
mkuu kuna watu wakisikia waarabu au waisraeli wametajwa midadi inawapanda na kuwashuka, ni kama vile hawa watu ni gods to them.
 
Cha kwako kipi ulichokigundua mkuu hadi udharau vya wenzako?

Unaelewa kinachozungumziwa lakini au unaropoka tu?!!...tunalinganisha project zilizopo kickstarter, tumia hiyo akili, siyo unabeba kama boga unalosubiri likomae!
 
Unaelewa kinachozungumziwa lakini au unaropoka tu?!!...tunalinganisha project zilizopo kickstarter, tumia hiyo akili, siyo unabeba kama boga unalosubiri likomae!

Kama unajua kulinganisha project ungeleta hii mada na siku kuishia kuponda,. Acha ushamba wewe
 
Ukiwa na mtazamo huo KAMWE huwezi kuna kuwa mfumbuzi. Learn to appreciate someone anapofanya something good,hata kama kwako ni kidogo
 
hawa jamaa huwa vichwa vyao viko vizuri sana aisee
 
Cha kwako kipi ulichokigundua mkuu hadi udharau vya wenzako?

kufuga sharubu....wa kupuuzwa tu huyo...u much know mwingi...yaani ye kickstarter ndio kaana alfa na omega...sijamtaja kwenye post yangu kajistukia kaja na mitusi yake.....mleta mada kaleta kitu tofauti naye ananzisha mada yake ,,,,,
 
Upo wake Bado ni mdogo inaonekana
 
Ukiwa na mtazamo huo KAMWE huwezi kuna kuwa mfumbuzi. Learn to appreciate someone anapofanya something good,hata kama kwako ni kidogo

hajui wagunduzi wakubwa walianza na vidogo....anasifia kickstarter hajui evolution/revolution ya kile kitu...kazi kuleta mipovu..wakati hata kutengeneza vijiti vya meno hawezi...kwa waponda uvumbuzi wa wenzao..

To invent, you need a good imagination and a pile of junk.
Thomas A. Edison

No amount of skillful invention can replace the essential element of imagination.
Edward Hopper
 
Hujui kwamba waisraeli ndio walimuua yesu Na ukifika kule wakristo ni wachache sana tena ni wageni nenda kasome sio unaleta vitu vibichi

na wewe hujui kwamba kwamba wakristo na wayahudi wanamuabudu Mungu mmoja anaitwa Yehova...tofauti ni moja tu...mmoja anaamini kuna siku Yehova atakuja duniani kama binadamu/mesiah, mwingine anaamini mesiah aliisha kuja duniani ila atarudi tena
 
kufuga sharubu....wa kupuuzwa tu huyo...u much know mwingi...yaani ye kickstarter ndio kaana alfa na omega...sijamtaja kwenye post yangu kajistukia kaja na mitusi yake.....mleta mada kaleta kitu tofauti naye ananzisha mada yake ,,,,,

Ungekuwa umeleta swala la uvumbuzi ungejadili kivumbuzi, badala yake unaleta habari za racism hapa waisrael sijui nini na nini, mpaka utaje race ndiyo ujue ni kitu kimevumbuliwa?!!! na kama ulikuwa hautaki mawazotofauti si ungepost kwenye ukuta wako fb mkacoment wewe na vilaza wenzako?....SHAME!
 
Upo wake Bado ni mdogo inaonekana

Upeo wako mkubwa ndiyo unakufanya ujadili mtu aliyevumbua kuliko kitu kilichovumbuliwa?!! kwa nini msijadili kifaa kilichovumbuliwa kuliko kujadili Waisrael? Yaani hakuna unachokifahamu kuhusu hiyo device yet unatoa uharo kusifu aliyevumbua?!!...kweli tunatakiwa kureview mitaala yetu yote, vyuo vinazalisha makapi mengi kuliko ngano!
 
Kama unajua kulinganisha project ungeleta hii mada na siku kuishia kuponda,. Acha ushamba wewe

kwa hiyo kama sijaleta mimi mada siruhusiwi kuchangia?!!...:loco:
 
Invention always huanzia kwenye kitu kikubwa then wengine ndo huja kuboresha.mfano computer ya kwanza ilikua na ukubwa wa godown ikitumia megawatt za kutosha uku uki input data mf 20+50 jibu utalipata kesho lakin revolution ya transistor ndo imeweza watu kuvumbua mpaka iphone,tablet nk..tatizo letu kitu akivumbua muarab,muiran au muisrael tunatanguliza chuki mfano wairan wamevumbua mengi hasa wanafunz wa vyuo kuna muiran mwanafunz alikuja na machine time mataifa fulan wakapinga juz mjapan kaja na miwan ambayo ukiivaa unaweza jua mtu anafikiria nin same as muiran leo hii kuna nchi ya kiarabu imeiuzia drone Russia japo huwez amini,.ila jua wenzetu wamewekeza kwenye elimu next yr Israel watakuja na chaja za smartphone zenye uwezo wa kuchaj kwa dk 30...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…