Israeli-long live

Status
Not open for further replies.
Pia usisahau Israel ni taifa ambalo lina orodha ya watu wake wote hapa duniani ,linawajuwa waliko mahala popote duniani,pia ni taifa pekee linalowajali sana raia wake wako tayari hata kufukua mifupa ya raia wake waliofia ugenini na kuisafirisha hadi kwao,pia wako tayari hata kuwatorosha wana wa israel kutoka katika nchi wanazoishi iwapo wanazuiwa hadi kuwarejesha Israel kama walivyofanya kwa wale Mafalasha wa Ethiopia.
pia usisahau wanalima machungwa na ma apple mengi kuliko nchi zenye mito na ardhi ya rutuba (Tz na Africa).hakika Israel ni nchi ya ajabu na pekee duniani ,hapa bongo kuna kampuni inawapeleka watu kwa millioni 2 kwenda kutalii Israel nami najipanga niende huko mwakani,nafikiri niu sehemu muhimu za kutembelea duniani kabla mtu hujafa
 
gavana-mbona unachanganya mada?

mbona unatetemeka ????? yamekuathiri nini ?????? kinyume na wanavyokudanganya kwenye hizo dini zenu ambazo wamejipenyeza ???? au haya si yao mayahudi gonga tena usome bila jaziba ndio kuelimishana Lubavitch website

hayo ni madogo nitakuwekea mengine zaidi siku za mbeleni ambayo yatakushitua vibaya sana
 
GAVANA; ninachoshangazwa na wewe ni kwamba naona unachanganya mada?tatizo lipo wapi?
 
binadamu wote ni sawa challenge zinazokukuta hukufanya uwe makini zaidi leo nikikutupa wewe polini na lori la maji ya chupa kitu cha kwanza kugundua haiwezi kuwa kisima ,waisrael si wanaakili sana nooo bali challenge kwanza hawana kwao wameishia kung'ang'ania kwa watu tuu , halafu amani ndo kitu hawana marakumi kongo wanauhakika kwao ila waisrael wanajua ile ni ardhi ya wapalestina forever .hakuna anae ilaani kwanza haideserve that attention its refugee nation hata kibiblia waliishi maisha ya kutangatanga majangwani dizaini ya wamasai .

kiukwel sina anything negatv with the guys ila naamini watu wanawaexaggerate mno.
 
Hapo umekokotoa vizuri. Elimu bora ya mapema ni moja ya vigezo muhimu wa kujenga jamii angavu.
 
Wanasikia wivu watoka kulia kwenda kushoto!
.............Hajui Wayahudi wakiandika wanatoka upande gani wanaenda upande gani, wao ni watu wa kulishwa tuu, no reasoning power. Wachina wao wanatoka juu wanaenda chini !
Na Kafiri hujui kuwa kutoka kulia kwenda kushoto kuna dalili kubwa ndani yake ! Moyo wako uko upande gani ? Dunia inazunguka jua kutoka upande gani kwenda upande gani ?
 
Israel ni taifa pekee la lililoteuliwa na Mungu tangu enzi za Abrahamu jamani hii naamini inahusika sana mambo ya kwenye Bible waungwana. Na litaendelea kubarikiwa hivyo hivyo na sisi tutabaki na umaskini wetu mpaka kizazi cha 10,000.
pamoja na kutumiwa "Mitume" wengi ! waisrael wanasifa ipi bora ya kumtukuza mwenyezi Mungu kulingana na maandiko !?
 
utakieni amani yerusalemu na wafanikiwe wakupendao.amani na ikae ndani ya kuta zako na kufanikiwa ndani ya majumba yako.zab 122
 
pamoja na kutumiwa "Mitume" wengi ! waisrael wanasifa ipi bora ya kumtukuza mwenyezi Mungu kulingana na maandiko !?

Sifa moja bora ni jinsi wanavyo mitandikeni nyie maarabu na dini yenu ya islam tokea dunia iumbwe. Mwarabu hana ubavu pale, yaani wao ni kupakatwa kila siku.
 
Sifa moja bora ni jinsi wanavyo mitandikeni nyie maarabu na dini yenu ya islam tokea dunia iumbwe. Mwarabu hana ubavu pale, yaani wao ni kupakatwa kila siku.

HAO NI NDUGU WAJAMENI Waliimbiwa watatandikana mpaka mwisho. ishmael''
 
HAO NI NDUGU WAJAMENI Waliimbiwa watatandikana mpaka mwisho. ishmael''
<br />
<br />
Wajameni, tatizo si kutandikana. Tatizo ni kwamba mtoto wa housegirl-Ishmael, hampendi kabisa mtoto wa mama mwenye nyumba- myahudi
 
sifa moja bora ni jinsi wanavyo mitandikeni nyie maarabu na dini yenu ya islam tokea dunia iumbwe. Mwarabu hana ubavu pale, yaani wao ni kupakatwa kila siku.

mumeletewa viroba vingapi vya unga leo kanisani ???
 
Sifa moja bora ni jinsi wanavyo mitandikeni nyie maarabu na dini yenu ya islam tokea dunia iumbwe. Mwarabu hana ubavu pale, yaani wao ni kupakatwa kila siku.

..................... walimtandika Mungu wako kisawasawa mpaka akaita Mungu mwingine aje amsaidie "Eloi eloe............. Mungu mkuu akagoma akamwacha Munu mwenzie afe kifo cha aibu!"
 
..................... walimtandika Mungu wako kisawasawa mpaka akaita Mungu mwingine aje amsaidie "Eloi eloe............. Mungu mkuu akagoma akamwacha Munu mwenzie afe kifo cha aibu!"[/B]

Kumbe weye umekuwa KAFIRI siku hizi, hii mambo hii umeipata tokea kooolani ipi weye!! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, ndio maana huwa nasema nyie na HAYATI Muham-mad mwanzilishi wa dini ya ISILAMU, subirini cha moto kingine kinakuja. Ni kuchomwa moto wooote nyie na Allah wenu kiumbe pamoja na yale majini mnayo fuga na kuyasujudu na kuayswalisha Msikitini.

Sasa rudi kwenye mada weye mfuasi wa MWAMEDI(HAYATI) na mwanzilishi wa dini ya ISILAMU, allah wenu yupo wapi mnapo pewa bakora za uhakika na Wayahudi? ALLAH wenu alikuwa wapi wakati HAYATI MWAMEDI (Mwanzilishi wa Isilamu) alipo bambikwa nyama yenye sumu ya panya na yule Mama wa Kiyahudi na kusababisha kifo cha aibu kwa Mwamedi (hayati) mwanzilishi wa dini ya ISILAMU? Yaani nyie nikupewa vipigo hata na Mama wa Kiyahudi? Astakafulah.
 
mumeletewa viroba vingapi vya unga leo kanisani ???

"a gay profession" ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, kaaazi kwer kwer, yaaani uhuru huu sasa watangaza kwa ummah woooote, ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…