===============KUSAPOTI PALESTINA SIYO SERA, NI MATAKWA BINAFSI==============
Hiyo comment kwamba Nyerere alisapoti Palestina ni ILLOGICAL. Ukiangalia,Kitendo hicho alichokifanya,utagundua kwamba SIASA NI MCHEZO MCHAFU na UNDUMILAKUWILI.Kwamba leo hii unaisapoti Palestina, kesho yake unaiomba Israeli ifundishe JKT na Maaskari wako.
Haipo faida yoyote ambayo TZ iliipata kwa maamuzi haya. Badala yake tulionekana kama Ndumilakuwili, pale ambapo tulienda kuwaomba Israel misaada ya Kijeshi na kuwaomba wananchi wetu kufundishwa Kilimo. Huo Ndio mwanzo wa TZ kulaaniwa.... Imeandikwa, Atakayelaani Israeli naye atalaaniwa. Kama TZ ilikurupuka kwa hayo maamuzi, ujue iliingia ktk laana ya kujitakia.