Israel yavunja mahusiano na Starlink, ni baada ya Elon Musk kusema atasambaza internet Gaza

Kwenye mambo ya Intelligence watu uwa wanaangalia threat unataka kusema Elon ni threat kwa israel? Unafikiri Wanamgambo wa Hamas watatutimia iyo INTERNET kuwasiliana? Iyo ni special kwa raia na makundi yanayotoa misaada ya kibinadamu..
Elon sio threat ,bali israel hawataki kuona maadui zao wanawezeshwa kwa chochote kile.

Swali langu,Kivipi israel italia na kusaga meno kama elon akisema hawapi msaada?

Kwa mantiki yako ya israel italia na kusaga meno kama elon akisema hawapi msaada maana ake unataka kunambia elon ni mkubwa kuliko israel?
 
Kama heading inavyojieleza Israel imeamua kukata mahusino yao na Elon musk..baada ya kuruhusu Internet ya Star link kutumika Gaza kwa mashirika ya misaada ya kibinadamu... View attachment 2796393
Sasa walichotaka ni kipi?.Walitaka wapige tu na watu wasisikie kelele za wanaokufa.
Au walitaka wakipigwa na Hamas ulimwengu usijue kipigo chao.
 
Wataalam wa teknolojia nguli wapo Israel au wana asili ya israel.... watamkatia mbali
Acha ujinga mpumbavu wewe , hizi kampuni zote za Tesla hebu tafuta executive au wanasayansi wanaobuni hizo inventions wenye asili ya kiyahudi ni wangapi ?
Humo kwenye kampuni za Elon kumejaa wahindi ,wachina na watu wenye asili ya ulaya mashariki na Germany ,acha upumbavu
Ashkenazi ana akili gani ya kufanya ground breaking scientific discoveries kama zinazofanywa na wahindi ,wachina na Europeans ?
 
hebu tutajie technolojia inayotoka Israel, mi sijawahi kuona bidhaa yoyote kutoka Israel.
Bongo hii ni nadra kuona bidhaa kutoka Switzerland, Israel au Canada. Hawatengenezi bidhaa ndogondogo nyingi, na hawatengenezi kwa ajili ya soko duni la pangu pakavu. Na hawana multinational corporations.

Israel wanauza sana diamonds ambazo wananunua nje na kuzifanyia urembo (metallurgy ya hali ya juu hii). Wanauza mitambo na teknolojia, madawa ya binadamu, mazao ya kilimo. Soko lao kubwa ni Ulaya.
 
Back
Top Bottom