Wanatumia kodi za mabeberu wakoUna akili ndogo sana, unafikiri vita ni sawa na kufungua uzi jf?
Ulitegemea watumie kodi za wananchi kupigana vita hivyo?
Kodi zipi wanazotumia zaidi ya Misaa ya Marekani.Una akili ndogo sana, unafikiri vita ni sawa na kufungua uzi jf?
Ulitegemea watumie kodi za wananchi kupigana vita hivyo?
Kwahiyo herzog ni muongo? AuIsrael mwenye mamlaka ni Netanyahu
Anaelewa kitakachofuatia,mwaka huu hachomoki.Kwahiyo herzog ni muongo? Au
Unawaza kanisani tu muda wote! Kaombe na wewe Misaada... Ukiwa mjinga ni mjinga tu... Israel kaomba au Marekani ndio katoa Msaada kisa kikuu ni Ugaidi pakee.. Mgaidi ni adui wa Dunia kasome Koran inasemaje kuhusu Wayahudi na Christians... ni kuchinjwa tu hadi kifo... wapende tu siku yako wakija utawajua nini maana ya Gaidi...Kodi zipi wanazotumia zaidi ya Misaa ya Marekani.
Kaandamane huko Allah sio is no more Akbar yupo chini as always pale kaaba black stoneRais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa wakati mmoja; upande wa kusini na Harakati ya Hamas ya Palestina na upande wa kaskazini na harakati yenye nguvu kubwa ya kijeshi, Hizbullah.
Herzog alisema hayo jana katika kikao na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kueleza kuwa: Hatutaki makabiliano katika mipaka ya kaskazini, lakini iwapo Hizbullah itatuburuza kwenye vita, Lebanon italipa gharama kubwa.
Kauli ya Herzog imekuja chini ya wiki moja baada ya Rais Joe Biden wa Marekani na washauri wake wakuu kuwaonya viongozi wa utawala ghasibu wa Israel wasijaribu kuingia katika vita na migogoro na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah.
Aidha hivi karibuni, Hizbullah ya Lebanon ilitangaza kuwa imetoa kipigo kikali katika mashambulio iliyofanya dhidi ya ngombe za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mashamba ya Shabaa ya ardhi ya Lebanon inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Hii ni katika hali ambayo, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kwamba, askari zaidi ya 300 wa utawala huo wameuawa tangu kuanza kwa vita vya Kimbunga cha al-Aqsa mnamo Oktoba 7.
Operesheni hiyo hadi sasa imepelekea kuangamizwa Wazayuni wasiopungua 1,500 na kujeruhiwa karibu wengine 5,000. Pia, Wazayuni wengine wapatao 200 wamekamatwa mateka na wapigania uhuru wa Palestina.
Hakuna kitu kama hicho mbona hapo iarael 20% ni waislamu na 2% wakristo na hakuna muislamu aliyochinja mtu?Unawaza kanisani tu muda wote! Kaombe na wewe Misaada... Ukiwa mjinga ni mjinga tu... Israel kaomba au Marekani ndio katoa Msaada kisa kikuu ni Ugaidi pakee.. Mgaidi ni adui wa Dunia kasome Koran inasemaje kuhusu Wayahudi na Christians... ni kuchinjwa tu hadi kifo... wapende tu siku yako wakija utawajua nini maana ya Gaidi...
Hivi huu ujinga mnalishana mda gani?
View: https://youtu.be/V1UBeh9CUXc?si=kFHakz_ILCQTohfV
Israel asichezee huko kabisa ikiwa Hamasi kamshinda yeye na Mmarekani wake
Wanaufiata mkia lakini hakuna ardhi yenu mnayokomboa sasa hapo wajinga nani?Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa wakati mmoja; upande wa kusini na Harakati ya Hamas ya Palestina na upande wa kaskazini na harakati yenye nguvu kubwa ya kijeshi, Hizbullah.
Herzog alisema hayo jana katika kikao na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kueleza kuwa: Hatutaki makabiliano katika mipaka ya kaskazini, lakini iwapo Hizbullah itatuburuza kwenye vita, Lebanon italipa gharama kubwa.
Kauli ya Herzog imekuja chini ya wiki moja baada ya Rais Joe Biden wa Marekani na washauri wake wakuu kuwaonya viongozi wa utawala ghasibu wa Israel wasijaribu kuingia katika vita na migogoro na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah.
Aidha hivi karibuni, Hizbullah ya Lebanon ilitangaza kuwa imetoa kipigo kikali katika mashambulio iliyofanya dhidi ya ngombe za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mashamba ya Shabaa ya ardhi ya Lebanon inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Hii ni katika hali ambayo, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kwamba, askari zaidi ya 300 wa utawala huo wameuawa tangu kuanza kwa vita vya Kimbunga cha al-Aqsa mnamo Oktoba 7.
Operesheni hiyo hadi sasa imepelekea kuangamizwa Wazayuni wasiopungua 1,500 na kujeruhiwa karibu wengine 5,000. Pia, Wazayuni wengine wapatao 200 wamekamatwa mateka na wapigania uhuru wa Palestina.
Wanamgambo wa Israel Wanaogopa kifir.o toka HezbollahUna akili ndogo sana, unafikiri vita ni sawa na kufungua uzi jf?
Ulitegemea watumie kodi za wananchi kupigana vita hivyo bila sababu?
Weeeh kweli kwa hyo warabu ni wafiraji?Wanamgambo wa Israel Wanaogopa kifir.o toka Hezbollah
Ngoja zamu ya Hamas iishe, then itafata ya Jordan...!Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa wakati mmoja; upande wa kusini na Harakati ya Hamas ya Palestina na upande wa kaskazini na harakati yenye nguvu kubwa ya kijeshi, Hizbullah.