BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Hakuna mtu yoyote au kikundi chenye majigambo kinaweza kuishinda au kuitikisa Israel ulinzi WA Israel ni wa kimungu amimini usiamini lakini huo ndio ukweli na wote wale waliojaribu wamekipata cha mtema kuni !
Hakuna mtu yoyote au kikundi chenye majigambo kinaweza kuishinda au kuitikisa Israel ulinzi WA Israel ni wa kimungu amimini usiamini lakini huo ndio ukweli na wote wale waliojaribu wamekipata cha mtema kuni !
Mungu anaewalinda mashoga si mwingine ila LusifaHakuna mtu yoyote au kikundi chenye majigambo kinaweza kuishinda au kuitikisa Israel ulinzi WA Israel ni wa kimungu amimini usiamini lakini huo ndio ukweli na wote wale waliojaribu wamekipata cha mtema kuni !
Na huyu ndio anaabudiwa na mazayuniMungu anaewalinda mashoga si mwingine ila Lusifa
Na huyu ndio anaabudiwa na mazayuni
bora hata hamas ni chama kinachotawala gaza,kihalali,kimechaguliwa na wananchi,,lakini hezzibollah,ni genge la wahuni,wanaofadhiliwa na nchi za kiarabu,mashia,iran na syria,,mbona hawateki raia wa urusi,wakione cha moto,,Hezbollah ni kama Hamas tu hakuna tofauti,wote wanapigana gorillar war,yaani wanashambulia na kujificha either msituni au kujichanganya na raia.Direct confrontation na IDF Hezbolah watapasuka vibaya mno.Huo ndo ukweli.
Hakuna gaidi wa kuthubutu kuwasumbua Urusi, maana waliwahi kujaribu ila Somo waliloyoa Warusi hadi leo hao magaidi sijui waarabu huwa wanazisimulia hadi mimba jinsi ya kukaa mbali na warusi.bora hata hamas ni chama kinachotawala gaza,kihalali,kimechaguliwa na wananchi,,lakini hezzibollah,ni genge la wahuni,wanaofadhiliwa na nchi za kiarabu,mashia,iran na syria,,mbona hawateki raia wa urusi,wakione cha moto,,
Ile ilikuwa mikwara tu! Hawana jipya waleNauliza wale waliotoa ile picha ya satellite inayoonyesha maeneo muhimu Israel wameshalipiza kisasi?
Acha kujipotosha mkuu. Najua unajua unajipotosha huku ukiujua ukweli.Hezbollah ni kama Hamas tu hakuna tofauti,wote wanapigana gorillar war,yaani wanashambulia na kujificha either msituni au kujichanganya na raia.Direct confrontation na IDF Hezbolah watapasuka vibaya mno.Huo ndo ukweli.
Hahaha!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kujipotosha mkuu. Najua unajua unajipotosha huku ukiujua ukweli.
Kwani warusi walifanyaje kwa hao magaidi mkuu?Hakuna gaidi wa kuthubutu kuwasumbua Urusi, maana waliwahi kujaribu ila Somo waliloyoa Warusi hadi leo hao magaidi sijui waarabu huwa wanazisimulia hadi mimba jinsi ya kukaa mbali na warusi.
umeelezea vizuri sana,ila nafikiri nchi ya lebanon si nchi ya kiislamu au kiarabu kama watu wengi wanavyofikiri....au hii imekaaje?Mkuu Hizbullah, ni chama na ni waarabu wazaluwa wa Lebno, na pia ni chama kama kwa mfano Chadema au chama chochote, kinawakilisha wabunge ndani ya bunge la Lebanon, Raisi wa Lebanon ni Mkiristo, Waziri mkuu ni Sunni, Mkuu wa bunge ni Shia, Na Mara hii ya mwisho uchaguzi Hizbulla imejinyakulia viti vingi bungeni, na pia wanapendwa sana, KAMA HIZBULLAH WASINGEKUEPO LEBNON SASAIVI INGELIKUA INAKALIWA KWA MABAVU NA WAYAHUDI
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]wanajua wakiingia lebanon watafyekwa wamesahau mji wa kibiashara wa haifa ulivyogeuzwa magofu na hezbollah 2006?