Israel PM ashutumu kuvamiwa kwa cyberattack unaofanywa na OilRig hackers

BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,151
2,161
Why Netanyahu failed to mention the Iranian link to the cyberattack on Israel
Waziri Mkuu wa Israel amesema nchi yake imeshambuliwa na cyberattack mashambulizi yanayofanywa kwa njia ya computer kuharibu mitambo,kuiba nyaraka au kubadili na kuvuruga....Katika report hiyo link ipo juu apo address iliyogundulika ni OilRig ambayo ni Iran based hackers na wanaendelea kufanya tathimini ya uharibifu uliofanywa na OilRig hackers na hawa wamekua waki attack Turkey,US,Israel na Saudi,...Why Netanyahu failed to mention the Iranian link to the cyberattack on Israel
 
Back
Top Bottom