Tetesi: Israel Next Target: Turkey's Tayyip Erdoğan

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
21,620
Reaction score
42,991
Now that Iran Supreme leader
and arch enemy of Israel is gone. Attention is said to be turning toward what is considered the remaining major adversary — Tayyip Erdoğan — and plans are allegedly being prepared to remove him. Stay tuned......Israel hawapoi, USA hawalali...
 
Naam, kituo kifuatacho ni uturuki, hata kama si leo anyukwe tu, alijifanya kiherehere kutaka kuingia vitani na israel. Anyukwe tu huyo mkobazi wa ulaya ya kati
 
Hiyo vurugu itayozuka hapo middle east Wayahudi watarudi ukimbizini
Kwa Nasrallah walisema hivi na Kwa Ayatollah Khamenei tunasikia kelele zao na hakuna kitu kitatokea.
Israel atawatandika kila mmoja kwa wakati wake hapo Mashariki ya kati hadi wote wampigie magoti.

Mpango wa muda mrefu ni Instambul (Constantinople) irudishwe kwa rightful owner ambaye ni Greece na Israel irudi kwenye mipaka yake kama ilivyobainishwa kwenye Bible. Stay tuned...

Week hii balozi wa Israel kazungumzia hii issue ya Greater Israel Waarab wakafura tu lakini hamna walichofanya, leo hii wanamsaidia USA na Israel kumpiga Iran halafu wewe upo Kigogo Magengeni unasikitika😂😂

Hapana asee Israel isithubutu kufanya hilo kosa kwa huyu humble Gentlemen. Kwa hili sitamuunga mkono kabisa mteule. Endapo mteule atamdhuru erdowan nitawalaan.
 
Endelea kuota mbona silaha zenu mmekimbizia cyprus baada ya uturuki kukataa kuwapokea. Angalia kinachotokea huko Cyprus sasa hivi Usibwate tu hapa. Middle East haitakaa itulie tena swallow my words
 
Hapana asee Israel isithubutu kufanya hilo kosa kwa huyu humble Gentlemen. Kwa hili sitamuunga mkono kabisa mteule. Endapo mteule atamdhuru erdowan nitawalaan.
Trump mwenyewe anamkubali sana Erdowan
 
Kafanyaje huyo Mzee mpaka wapange kumtoa ?
 
Endelea kuota mbona silaha zenu mmekimbizia cyprus baada ya uturuki kukataa kuwapokea. Angalia kinachotokea huko Cyprus sasa hivi Usibwate tu hapa. Middle East haitakaa itulie tena swallow my words
Na ndiyo maana lazima apigwe kwa sababu ya unafiq wake.
 
Makanisa yote waliyoyabadili kuwa MISIKITI kwa kuua wakristu yanarudi
 
Huyo mwanachama wa nato
Naam, kituo kifuatacho ni uturuki, hata kama si leo anyukwe tu, alijifanya kiherehere kutaka kuingia vitani na israel. Anyukwe tu huyo mkobazi wa ulaya ya kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…