Israel na nchi za Kiarabu

Israel na nchi za Kiarabu

"Uwepo wa Israel unategemea ulinzi kutoka kwa vibaraka wa Wakoloni katika nchi za Kiarabu, Kama wataondolewa vibaraka hawa Israel nayo itapotea"

Shaykh Taqiudin Nabahan
Chuki ya hali ya juu kabisa!
 
Israel na nchi za Kiarabu

"Uwepo wa Israel unategemea ulinzi kutoka kwa vibaraka wa Wakoloni katika nchi za Kiarabu, Kama wataondolewa vibaraka hawa Israel nayo itapotea"

Shaykh Taqiudin Nabahan
Maayatollah bana! Nao wanajihisi kama super powers kwa vijimaneno vyao vya khanga!
 
Imani zingine muwe nazo makini hasa kipindi hiki kigumu kimaisha.jibidishe kujikwamua kiuchumi.maana una sress za maisha wakati huohuo nayo dini inakujaza ujinga usiokuwa na maana eti nchi flani ambayo ipo maelfu ya maili eti ni adui yako nawe bila kutumia akili unaiongeza katika maadui wako na unaumiza kichwa juu yake!!....
Uadui wako na taifa la israel unachochew na nini kama si kulishana ujinga wa kidini?tengeneza maisha yako ya kiroho weka moyo wako safi utaiona pepo.nani unawadanganya kuwa ukiichukia israel utaiona pepo!! Pepo gani hiyo Nadhani ni ile ya chini mtende.
Au mwenzetu unawai zile bikra 72 (wakiwemo mahouri wenye macho kama vikombe na matako dhiraa 47)????
take care!!!
 
Israel na nchi za Kiarabu

"Uwepo wa Israel unategemea ulinzi kutoka kwa vibaraka wa Wakoloni katika nchi za Kiarabu, Kama wataondolewa vibaraka hawa Israel nayo itapotea"

Shaykh Taqiudin Nabahan
Kama waarabu halisi uko macca na madina ni vibaraka wao vipi kwa waarabu koko uku danganyika wana nini cha kufanya juu ya israel? Unapoteza muda na kulishana matango poli.
Uzalendo ni kwa nchi yako pekee.mashariki ya kati wanajuana.vita vyao sio vya leo.
 
Izi ni Chuki waziwazi..Mnao chukia Jews mnataka Jews waende Wap
 
Reactions: PNC
Non sense
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…