Israel Hits Beirut with Nuclear Missile

"To start the reaction, ammonium nitrate must come into contact with an open flame or other ignition source. In the Beirut incident, experts suggest fireworks were involved. "
 
N
Broken glasses
 
Muache huyo. Yeye ref ya nuke ni Hiroshima. Hajui kuwa test ilifanyika USa.
Kuna mabomu ya nyuklia moaka ya kutupa Kwa mkono tusikariri bomu la nyuklia lazima lichukue kilometa labda kuanzia 100
 
Watu wanajadili hii issue kwa kiwango cha chini sana.

Wakidhani wayahudi ni jeshi la hezbolla.. wayuhudi ni nyoko sana.. wana tech nyingi sana ambazo hata usa hana.

1. Waliwahi kulipua kinu cha nyuklia Iraq miaka kama 20 iliyo pita bila kuonekana. Kitu hicho kilikua kinajengwa na wafaransa, na wafaransa wengi waliuawa lakini hakuna myu aliye diriki kumwandama myahudi hata mfaransa mwenyewe kwa sababu hakukua na uhakika nani kalipua.

2. Waliwahi kuwasaka na kuwaua vijana wote wakiarabu walio lipua kambi yao ujerumani wakati wa olympik hadi wote wakaisha.

3. Waliwahi kuiba ndege nzima nzima MIG21 ya Iraq na kuipeleka Israel bila Iraq kujua.

4. Waliwahi kuhaki radar za iraq na kuzidirect zionyeshe vitu vingine hadi wao wakapita na ndege zao na kurudi bila wenyeni kunua na baadae wakazirudisha radar kwenye normal state.

Sasa kwa nini isiwezekana kulipua port ta beirut bila kutumia ndege ambayo ingeonekana.. naona watu wanajitahidi kuonyesha picha ya missile.


Wayahudi sio saizi ya wote hapo middle east.. amewazidi kwa mbali sana.
 
Kuna links nimeweka humu zitafute mzisome,sio lazima video.Tafuta taarifa,sio lazima utafuniwe kila kitu.Do not be lazy.
Link zinaandikwa na source fake,ndio maana nikasema weka video acha kutafuta huruma.Siku nyingine ukileta habari jiandae kuulizwa maswali,hapa sio kanisani au msikitini kwamba tumekuja kusoma tu bila kuhoji..
 
Link zinaandikwa na source fake,ndio maana nikasema weka video acha kutafuta huruma.Siku nyingine ukileta habari jiandae kuulizwa maswali,hapa sio kanisani au msikitini kwamba tumekuja kusoma tu bila kuhoji..
Nimeletewa hizi clips sawa hivi,zinaonyesha wazi missiles hitting their target na moja ikiwa on the way to it's target! Dah,mbaya sana.
 

Attachments

  • IMG-20200807-WA0000.jpg
    3.5 KB · Views: 8
  • VID-20200807-WA0001.mp4
    4.8 MB
Leta video ya Trump.acha na izo conspiracy za hovyo
Katafute taarifa zako mkuu,kama taarifa niliyoleta hapa hayajatosheleza haja yako,ila naamini nilicholeta hapa ni authentic na kinatosheleza haja.Hata hivyo kwenye issue sensitive kama hii,hawezi kuwa too open.Finally kumbuka hata circumstantial evidence ina weza kum-convict mtu,hapa tuna more than circumstantial evidence.
 
Weka facts bro zinazoeleweka sio link za kuokoteza facebook .
 
Weka facts bro zinazoeleweka sio link za kuokoteza facebook .
Siandiki Thesis mkuu,hii ni blog.Kama nilicholeta hakikufai,sepa.Hakuna ugomwi.Hata hivyo naamini nilicholeta ni pure substance,infact over substance.Naijua JF sio mgeni. Nime-update nimeweka hata video ya missile ikishuka inapiga bandari bado,what else do you want.Na what link is authentic to you,uliyotengeneza wewe?Sepa.
 
Huyu mmbeya wa dunia yanamhusu nini?
Ameacha kuwaza uchaguzi kashupalia ya wengine.
 
Huyu mmbeya wa dunia yanamhusu nini?
Ameacha kuwaza uchaguzi kashupalia ya wengine.
Unajua mkuu,hata mimi imenishangaza sana.Nilitegemea awafichie siri Waisrael,maana kiukweli kushinda urais Marekani ni lazima uifurahishe The Israel Lobby.Hapa ni wazi kabisa kaenda kinyume nao.Ngoja tusubiri November kama uchaguzi utafanyika,maana hali ya Marekani tete,na ameshasema uchaguzi unaweza ukaahirishwa.Hata hivyo yeye hana mamlaka ya mwisho,Congress ndiyo yenye mamlaka ya mwisho.
 
taarifa za uongo na video hizo ni fake....hizo video fake zimechambuliwa hapa

Beirut explosion fake footage: Original video analysis exposes new details
 
Eti Israel kapiga Lebanon kwa kutimia Nuclear missle, sidhani kama Israel atafanya vile sababu akifanya vile ndio bye bye yake.

Afu Hezbullah anawaona wao kabla wao hawajamuona. Hezbullah ana Radar ambazo zinaona drone zisione Missile.
 
taarifa za uongo na video hizo ni fake....hizo video fake zimechambuliwa hapa

Beirut explosion fake footage: Original video analysis exposes new details
Why should we believe this version of ivents.Kwa nini tuamini taarifa hii?Kwa nini yenyewe isiwe fake.Hivi hujui kwamba Israel wana nia ya ku-destroy Hezbollah and anything to do with Hezbollah,na kwa kuharibu bandari ya Beirut wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa?Fuata link ifuatayo ulione ulione hili.

Remarks by Benjamin Netanyahu to the 73rd Session of the United Nations General Assembly, by Benjamin Netanyahu


Na kwa nini tuwakingie Waisrael kifuaa kiasi hicho huku wenyewe wana nia ya kuwaharibu Hezbollah?Kwa nini tusiamini kwamba they have done it this time around.But why all the effort.Tunawakingia kifua the Synagogue of Satan,the Khazarian Mafia,who can do literally anything?

Sasa tell me,ni nini kimelipua hiyo mbolea,the so called Ammonium Nitrate,kwa kuwa hii haiwezi kulipuka yenyewe,there must be a detonator.Mnakumbuka mwanzoni walisema ni fireworks,halafu wakabadili gear angani?Nimemsikia Rais wa Lebanon kwa masikio yangu mwenyewe Press TV, akisema wazi kwamba mlipuko ule inaweza kuwa umesababishwa na missile!Sasa mapema yote haya ninyi msio husika kabisa,mnadai tena kwa ujasiri kabisa kwamba sio missile,ninyi ni nani,who are you in the Lebanese Government mnaleta kitaarifa fake cha El-Arabiya.Hawa wana haki ya ku-deny involvement ya Waisrael,kwao ni aibu kupigwa na Waisrael so they must deny it,this is obvious, use your common sense.

The four most important questions which you should ask yourself kama kweli una akili ni haya:-
1.Who stands to benefit most from the bombing.
2.Kuna sababu zipi za msingi za kutengeneza hizo video unazodai ni fake.
3.IAEA wana sababu gani kudanganya kwamba wame notice nuclear fission Middle East
4.Kwa nini Trump akiri kwamba hili ni shambulizi na sio tukio la kawaida.

Jijibu maswali haya bila kuwa biased,then utakuwa umepata jibu of who did it.

Acheni ujinga ninyi,mbona mnaingizwa mkenge kirahisi hivyo,Al-Arabiya wana uwezo gani kwanza wa kuweza ku-deremine kwamba hili sio shambulizi,hata TBC si wanaweza parotly ku-quote taarifa wasiyo na hakika nayo wakai-report.
 
Nisaidie nifahamu vizuri hapo The Israel Lobby inakuwaje mkuu. Niongeze maarifa kidogo
 
Nisaidie nifahamu vizuri hapo The Israel Lobby inakuwaje mkuu. Niongeze maarifa kidogo
The Israel lobby (at times called the Zionist lobby) is the diverse coalition of those who, as individuals and/or as groups, seek to influence the foreign policy of the United States in support of Israel or the policies of the government of Israel. The lobby consists of secular, Christian, and Jewish-Americanindividuals and groups. The largest pro-Israel lobbying group is Christians United for Israel. The American Israel Public Affairs Committee(AIPAC) is a leading organization within the lobby, speaking on behalf of a coalition of American Jewish groups.
 
Sio kila habari ya lugha ya kizungu iliyoko mtandaoni ni ya - kweli

Jiongeze kutafuta vyanzo vya kuaminika vya habari kabla hujaamini habar za mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…