Israel Hits Beirut with Nuclear Missile

Conspiracy
Kuna nuclear warheads za aina kama tatu au nne hivi,nadhani ni swala la ufahamu tu.Nadhani mawazo yako wewe yako kwenye high yield bombs kama lile la Hiroshima ambalo lilikuwa a high yield nuclear bomb in terms of TNT.Hata hivyo hili la Beirut halikuwa dogo sana.Yields range from 5-150kt of TNT.La Beirut linaweza kua W80 ambalo ni low to intermediate yield two-stage thermonuclear warhead.
 
Unayajua madhara ya Nuclear weapons wewe au unatuona wote Mazuzu wa Magomeni Mapipa?
Nayajua sana!Kuna nuclear warheads za aina kama tatu au nne hivi mkuu,nadhani ni swala la ufahamu tu.Nadhani mawazo yako wewe yako kwenye high yield bombs kama lile la Hiroshima ambalo lilikuwa a high yield nuclear bomb in terms of TNT.Hata hivyo hili la Beirut halikuwa dogo sana.Yields range from 5-150kt of TNT.La Beirut linaweza kua W80 ambalo ni low to intermediate yield two-stage thermonuclear warhead.

Infact hata ukiangalia ile mushroom yake na taarifa zilizopo kwamba lili vaporize kila kitu in the near vicinity,it proves that it is a neulear device of low yield.
 
Sidhani kama ni rahisi kihivyo.
Nadhani ni swala ufahamu tu,ukielimishwa unaelewa,ni rahisi sana.
Kuna nuclear warheads za aina kama tatu au nne hivi mkuu,nadhani ni swala la ufahamu tu.Nadhani mawazo yako wewe yako kwenye high yield bombs kama lile la Hiroshima ambalo lilikuwa a high yield nuclear bomb in terms of TNT.Hata hivyo hili la Beirut halikuwa dogo sana.Yields range from 5-150kt of TNT.La Beirut linaweza kua W80ambalo ni low to intermediate yield two-stage thermonuclear warhead.

Infact hata ukiangalia ile mushroom yake na taarifa zilizopo kwamba lili vaporize kila kitu in the near vicinity,it proves that it is a neulear device of low yield.

Na kuhusu delivery systems sio shida,unaweza kuitumia missile kama delivery system au bomber kama Northrop B-2 Spirit au
Lockheed Martin F-35 Lightning II
Aircraft family
 
Nuclear missile haina haja. Tufanye assumptions kwamba Israel wamekuwa vilaza wakadondosha nuclear missile. Unasema ni miniature warhead, sio? Tungepata matokeo yafuatayo machache yake ni:

1. Radioactive fallout. Hakuna technology yoyote ile duniani ya kutenganisha nuclear warhead na radioactivity, na haitokaaa itokee. Hii ni sawa na kutenganisha damu na Haemoglobin, ukishaondoa HB damu inakuwa fluid au jina lingine. Nuclear inatengenezwa na radioactive materials tu ambazo lazima zionekane baada ya shambulizi au hata ajari. Kwenye hili tukio, vipimo havijaonesha mionzi.

2. Electromagnetic pulse. Hii inasababisha vifaa vyote vya electronic kama simu, saa, TV, radio, stations mbalimbali, etc kuzima kutokana na nguvu ya atomiki. Baada ya tukio na wakati wa tukio uliona video zinarekodiwaa na simu zilipigwa.

3. Mushroom cloud ambayo inadumu dakika nyingi angani. Tafuta video za Tsar bomba (most powerful nuclear detonation) kule Soviet Union au tafuta video za testing kule Nevada desert, USA. Cloud inakaa sana, hapa hatukuona mushrooms crowd hata kwa sekunde kumi.

4. Nuclear epicenter (ground zero). Ingetokea shimo kubwa kabisa lililotokana na explosion. Tafuta hata video ya drill za Iskander tactical missile za Russian military uone mlipuko wa zile conventional warhead zinavyochimba shimbo la zaidi ya mita 15 upana na mita 8 kimo. Hapa unayosema nuclear hakuna hata kashimo kakuficha kuku.

Hata lile jengo lefu lililoonekana mlipuko unaanza lilibaki sasa sijui nuclear yako ni ya kizembe kiasi gani.
 
Soma hii,nuclear devices ziko za sizes mbali mbali,sio lazima nuclear warhead I we na size kama ile ya Hiroshima!
Nadhani ni swala ufahamu tu,ukielimishwa unaelewa,ni rahisi sana.
Kuna nuclear warheads za aina kama tatu au nne hivi mkuu,nadhani ni swala la ufahamu tu.Nadhani mawazo yako wewe yako kwenye high yield bombs kama lile la Hiroshima ambalo lilikuwa a high yield nuclear bomb in terms of TNT.Hata hivyo hili la Beirut halikuwa dogo sana.Yields range from 5-150kt of TNT.La Beirut linaweza kuaW80ambalo ni low to intermediate yield two-stage thermonuclear warhead.

Infact hata ukiangalia ile mushroom yake na taarifa zilizopo kwamba ili vaporize kila kitu in the near vicinity,it proves that it is a neulear device of low yield.

Na kuhusu delivery systems sio shida,unaweza kuitumia missile kama delivery system au bomber kama Northrop B-2 Spirit au
Lockheed Martin F-35 Lightning II
Aircraft family
 
Wabongo bana, unapata faida gani kuweka uongo wako hapa.
Story hizi ziachage vijiweniy huko.
Nipe ushahidi kwamba huu ni uongo.Mimi nimefanya utafiti nikapata huu ukweli kutoka kwenye chungu.Na wewe taarifa kwamba huu ni uongo umeipata wapi?No research no right to speak.
 
Mimi sioni hata haja ya kujadili aina ya bomb. Kwa sababu hamna kitu kama hicho.
Pia isitoshe jambo kama hili lilishatokea tena huko Tianjin na hata Texas.

Hii video hapa chini ni mlipuko uliosababishwa na Ammonium nitrate ni ilikuwa ni 800 tonnes wakati huu wa Beirut zilikuwa 2750 tonnes. Hivo watch hii video kisha waza ingekuwa ni tonnes 2000+ ingekuwaje?

 
Hizo W80 si ndo zilikuwa deployed pale Turkey na hata Germany wanazo. Sidhani kama Israel inamiliki any US nuclear warhead maana US hawana base ndani ya Israel na hawana utaratibu wa kuipa nchi silaha iwashikie. Ruhusa ya kutumia nuclear inatolewa na rais sasa itakuwaje wakiipa nchi nyingine.

Pia B-2 Spirit bombers hazipo Israel, wanazo USAF peke yao na haziuzwi. Hizo F-35 ambazo Israel wamefanya modifications wenyewe zinaweza deploy lakini watatoa wapi W80.
Still nashikilia comment yangu ya kwanza.
 
Hapa hujajibu chochote nilichosema. Aliyekwambia sijui different nuclear warheads nani?
Nitaletaje habari za Hiroshima zile Fat Man zilizodondoshwa na Enola Gay wakati hata North Korea wana zenye uwezo kuzizidi.
 
Haya bwana.Aliyekuambia Ammonium Nitrate inaweza kulipuka yenyewe bila detonator ni nani.There has to be a detonator.Version ya serikali ya Lebanon is fake,they are trying to hide their shame.That is a nuclear device as confirmed by the Israel government and Trump.Hata mushroom ya explosion proves that to be a nuclear device.
 

Trump na Israel wamethibitisha?
Wapi? Naomba reliable sources.
 
Hivi unaamini kabisa kwamba Israel hawana W80 warheads.Hivi pia unaamini kwamba Israel hawana B-2 Spirit Bombers.Israel is America remember,na ndio wanao dictate American affairs and foreign policy.Na hata kama hawana W80 nuclear warheads,they can use smaller nuclear warheads and use other bombers.Si wanazo?
 
Israel is America! Who the f**k told you that nonsense? Israel hii ambayo ilipata ardhi mwaka 1948 ndo unaiita America ambayo ilikuwepo mwishoni mwa 1700s.
Na hizo B-2 zimekuwa pipi kwamba unaweka mfukoni hazionekani? Ndege si zinakuwa kwenye airbases. Hata US airbases zake si zote zinaweza pokea B-2.
 
It seems you do not know what America is and what Israel is.You are an ignorant fellow ambaye sina hata haja ya kuendeleza discussion naye.Na why should you be so much irritated kwa issue ambayo wala sio even so sentive to both of us?You seem to have sociological problems,wala kusingekuwa na haja ya kutukana.Verry funny.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…