Vipi kama wao lengo lao ni kuwaacha watengeneze ili watest mifumo yao kabla ya kuanza na Iran?Nyinyi si ndo huwa mnashinda humu mnaisifu MOSAD kuwa ndo shirika bora la interegensia duniani, sasa inakuwaje inashindwa kuzuia uingizwaji wa silaha ndani ya gaza hali yakuwa wamelizingira eneo hilo kila sehemu?
Hakuna kitu kama hicho hivyo viroketi vya wanamgambo wa kipalestina vinatengenezwa kwa zege na vimetengenezwa kwa tekinolojia ni hali ya chini sana.Vipi kama wao lengo lao ni kuwaacha watengeneze ili watest mifumo yao kabla ya kuanza na Iran?
Israeli kafanya sawa, hakuna muda wa kulea magaidi mipakani. Wafuatwe popote walipo.Baada ya kupata taarifa za uhakika
Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow
Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.
Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea
Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi
Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.
Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran
Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.
Swali
Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?
Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?
Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?
Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?
Mkuu Israel tunawapenda sana. Ila wanawaonea sana wapalestina hasa watoto ba wanawake. Pia blockade walioiweka Gaza haikubaliki kwasababu inazuia humanitarian aid.Baada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow.
Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.
Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea.
Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi. Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.
Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran. Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.
Swali: Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?
Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?
Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?
Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?
Watapukutika Kama mchwaHii ngoma naomba sana kundi la Hezbollah liingie Kati kusakata lumba
Kwanza na ulaaniwe, unawezaje wapigania haki kwenye nchi yao uwaite magaidi inaonekana una chembe chembe za utumwa kichwani mwako ,wale ni si magaidi ni wapalestina waliojitolea kuunda vikosi vya ulinzi .sawa na Tanzania kuwe na nchi inamega ichi yetu ikatokea vijana tukajitolea kupambana na wavamizi halafu anatokea mtu tu huko nchi nyengine anakuita gaidi eti kwa kua kikundi sio jeshi kamili we utafurahiBaada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow.
Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.
Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea.
Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi. Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.
Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran. Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.
Swali: Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?
Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?
Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?
Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?
Hahahahahaha hawa vijana wana vituko mnooo aiseeKinachonifurahisha duniani ni unafiki wa watu weusi ulivyo
Wanaomkosoa Mrusi kwa kumuita mvamizi ndio wanamsifia MuIsrael kwa kumshughulikia Mpalestina anaepigania eneo lake huku anaemtetea Israel akisimamia ushahidi wa biblia ambayo hao Israel kuna sehemu hawaikubali hiyo bible ikiwa na kumtambua Yesu kama Masihi.
Na upande mwingine anaemtetea Mrusi ndio anaemkosoa Israel kwa kumpiga Palestina anaelinda eneo lake huku akimkosoa Ukraine anaelinda eneo lake pia.
Yote kwa yote inaonesha akili halisi za sisi watu weusi na namna gani tulivyowepes kutawaliwa.Ndio maana wanasiasa wengi katika nchi zetu hizi wanatuendesha wanavyotaka maana wameshajua akili zetu zilivyo.
Endelea kuotaBaada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow.
Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.
Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea.
Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi. Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.
Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran. Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.
Swali: Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?
Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?
Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?
Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?
Miafrika mijinga sanaHahahahahaha hawa vijana wana vituko mnooo aisee
Wanamlaani Russia kwa kuivamia Ukraine, na wanawaita wapiganaji wa Ukraine mashujaa
Ila wanaisifia Israel kwa kuivamia ardhi ya wapalestina na vikundi vya wanamgambo wa kipalestina wanaotetea ardhi yao wanawaita magaidi
Haya yotee wanafanya kisa tuu mambo yao kiimani..yamewatia upofu kabisa
Israel hamuwezi Hizbula miaka elfuHii ngoma naomba sana kundi la Hezbollah liingie Kati kusakata lumba
unapenda usiko pendwaMkuu Israel tunawapenda sana. Ila wanawaonea sana wapalestina hasa watoto ba wanawake. Pia blockade walioiweka Gaza haikubaliki kwasababu inazuia humanitarian aid.
Tunatambua haki ya. Israel ya kujilinda lakini haijali uhai wa wananchi wasio na hatia Gaza, Samaria na Judea (west bank).