Israel begins to take their land back permanently

Duh.
Wasubiri ramadhan ipite ndiyo waliamshe dude.
 
Bro nimezaliwa na kukulia jeshini hadi mzee anastaaf nimemaliza chuo tena kikosi cha Anga Ngerengere enzi kinafundisha recruits miaka ya 80's na pia nimepitia JKT SIJAONA WAKITEGA LANDMINES (LABDA KAMA HUJUI LANDMINES)

so land mines kwanza katika ulimwengu wa sasa imepigwa marufuku na kutumika sababu iliua sana Namibia na nchi zingine ndo kisa cha SUA kufundisha panya wa kutegua MABOMU. so kwa nchi ambayo ina vifaa vya hali ya juu sana vya kijeshi kama Israel haitegemei sana vikosi vya Ardhini vya kutumia mabomu ya kutega chiniwamejikita zaidi kwny Anga

israel hupigana vita vyake nje ya mipaka yake so hawawezi kutega mabomu ya ardhini rejea vita vyote vya ISRAEL
 
Mkuu I concur with you, but protecting your military base it's inescapable to any military.....the issue is what do you apply to make your military base safe not easily reached by the enemy.....Isreal has got fewer number of soldiers in proportional with the land they occupy, several times they have violated UN banned weapons like cluster bombs separation walls air bombardment that brings discriminate killing of innocents, so in short their using alot forbidden weapons not necessarily landmines but those that have got similar impact of landmines........
 
Israel ni kama mkoa wa Morogoro ulivyozungukwa na msafu za milima ya Uluguru, kwa hio kushikilia ile milima ni lazima hasa ikizingatiwa uhasama kati yake na Syria.

NA KWA TAARIFA YAKO ISRAEL INAMILIKI ANGA YA LEBANON NA JORDAN NDIO MAANA NDEGE ZA ISRAEL ZINAWEZA KUISHAMBULIA SYRIA KUPITIA JORDAN


 
Mamamama.... Doh wajomba wamekasirika soon tunaenda kuona au kusikia dunia ambacho haijawahi kusikia wala kuona... Nanukuu "But we are offering you now one last chance. Within 24 hours, all rocket fire - and I mean all rocket fire - will cease. Completely. Forever.

I give you formal notice that our tanks are massed at the Gaza border, with artillery and air support at the ready. We have already dropped leaflets over the northern parts of the Gaza strip, warning civilians of our impending arrival, and that they should evacuate southward, forthwith. If you fail to meet our ultimatum we are coming in, and, with God's help, this time we will not leave. Every centimeter of land that we conquer will be annexed to Israel, so that there will *never* be another attack launched at our civilians from there. "mwisho wa kunukuu
 
WANAAMBIWA...................
"If you fail to meet our ultimatum we are coming in, and, with God's help, this time we will not leave"
 

Mkuu hapa pamenikosha zaid, yaan kila centimetre ya ardhi itakayokiwa conquered itakuwa ya Israel.
Na wanakwambia kwa msaada wa Mungu wanasema kipnd hiki hawataondoka[emoji85][emoji85]
 
They took it for military reasons not for human settlements..... up to now they have not constructed any permanent settlement it's just laid up with landmine armoury vehicles and Cctv camera......as to protect Telvivi from direct hit from those hills
Whatever!!
 
What was the number of death on the other side of the warriors.
 
It was only the lack of international recognitions that halted civilian activities. Get informed that,currently oil&gas explorations are underway after a newly go ahead from the US.
 
UN can't teach the state of Israel what to do regarding to her security.
 
If one Jewish is declared dead
Keep it n yr mind that 1000 Palestinians are deceased[emoji16][emoji16]
 
What was the number of death on the other side of the warriors.
Kaka the major subject is about Isreal, not Palestine......how many died is not an issue to the Palestinian, more ever many Palestine regard their resistance as jihad (holy war) many prefer to die in the war so that they can go to the paradise, so death to them is nothing, but some thing big to Isreal and her allies.......
 
I think now its time for Jews to send them to heaven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…