Israel and World Politics... Is this what will happen? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Israel and World Politics... Is this what will happen?

Discussion in 'International Forum' started by Topical, Nov 4, 2011.

 1. T

  Topical JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanaopenda kuishughulisha "akili" vizuri kwenye siasa za kimataifa...

  Soon ..Israel itavunja uchumi wa amerika, kwa kutumia reserve bank of america ...

  Uchumi wa merakani ukisa collapse itakuwa advantage kwa Israel..

  Tujiandae kwa vita vitakatifu maana hiyo state inapenda dhulma kama nini..
   
 2. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Vita vya 1967 Mlifanya nini?? Mbona hamkufurukuta???sasa ndo unagiza vita bora ungeagiza Kahawa na Haluwa.
   
 3. k

  kamili JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  umetumia vyanzo gani vya habari?
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Unaogopa nini? Mbona kila vita inapo tokea wana pewa bakora ni waarabu. Sasa kipi kipya unatemea, ni kupigwa bakora wale Waarabu mpaka waelewe kuwa kulilia ardhi ya watu ndio dhulma.
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Historic trends..

  UK (the world then) alitengeneza Israel 1948..though league of nations

  UK ilipo collapse uchumi wa dunia kuhamia US..US ikianza "kuelea Israel" kwa kutumia fedha za taifa lake..

  Israel imeshakuwa taifa..linahitajika kutawala dunia direct (not through proxy anymore..

  Guess what watakuwa taifa linalosimamia dhulma duniani..
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unatamani hiyo vita ..itakuja tu..hakuna anayelia hapa..tunaeleza mtazamo wa world politics..
   
 7. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Topical ana chuki ya kufa mtu na Israel ndiyo maana anajifanya anajua Historia kuzidi mwalimu wake.
  Historia ya Israel haijaanzia 1948 Kama unavyojidanganya.
   
 8. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Topical sijaelewa vizuri hii topic mzee. Yaani ISRAEL ishiriki kubomoa uchumi wa mfadhili wake mkuu ile iweje? Halafu zile $ billion 3 za kila mwaka zinazotolewa na Marekani kwenda Israel zitatoka wapi? Au kule kwenye Security Council nani atakeiwekea Israel kifua? Tafadhali nijuze mkuu.
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi nachoona ni kuwa Israel inataka kuwa World Super Power kama US..na ili hili litokee lazima uchumi wa US u-collapse..

  Kitakachotokea ni kuwa wamerakani wataingia katika vita na maadui wa Israel (wakati huo yenyewe ikijiimarisha kiuchumi)..kama ambavyo waingereza walivyokuwa wamejiingiza kwenye vita WWII ndio uka mwisho wa kuwa super power..

  Wakatai uchumi wa US uki collpase Israel inachukua nafasi..wala si china kama watau wanavyofikiri..
   
 10. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280

  Na Israel walivyo ma-genius wakishausambaratisha uchumi wa US watahamia US si unajua Beijing na Hong Kong kuna Wayahudi wa kutosha waliokimbilia huko tangu vita ya 2 ya dunia? Wakishausambaratisha uchumi wa China watahamia India si unajua wako kibao Bombay na Bangalore (Unakumbuka mwaka juzi synagog la Wayahudi lililolipuliwa Bombay?). Wakitoka India watahamia Brazil maana nako wako wengi sana then watahamia Russia and the cycle will go on again and again till Jesus amerudi. Hata kama ikitokea kuna nchi ya ki-arab itakayo kuwa na uchumi mkubwa duniani nako watazamia na wao watakuwa waamuzi wa mwisho wa kila kitu. Usichezee MAYAHUDI HATA KORAN INAWATAMBUA HAWA WATU.
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280

  Na Israel walivyo ma-genius wakishausambaratisha uchumi wa US watahamia China(PRC) si unajua Beijing na Hong Kong kuna Wayahudi wa kutosha waliokimbilia huko tangu vita ya 2 ya dunia? Wakishausambaratisha uchumi wa China watahamia India si unajua wako kibao Bombay na Bangalore (Unakumbuka mwaka juzi synagog la Wayahudi lililolipuliwa Bombay?). Wakitoka India watahamia Brazil maana nako wako wengi sana then watahamia Russia and the cycle will go on again and again till Jesus amerudi. Hata kama ikitokea kuna nchi ya ki-arab itakayo kuwa na uchumi mkubwa duniani nako watazamia na wao watakuwa waamuzi wa mwisho wa kila kitu. Usichezee MAYAHUDI HATA KORAN INAWATAMBUA HAWA WATU.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Magenius indeed, wamewa deceive wamekarani ngoja wa waangushe wawe super powers ndio watatia akili..
   
Loading...