Pengine hujaelewa, huo ni mfumo wa kuzuia makombora yanapopigwa nchini kwao. Ukirusha bomu linanaswa juu kwa juu na kuharibiwawalivyo wajinga, wao wapo huru kutest ila akitokea mwingine akitest vitu vyake anaonekana "threat" kwao. Yaani Israel na Marekani wamelaaniwa hawa watu sio bure.
kwamfano n.korea huwa anatest misiles kwa ajili ya kujilinda yeye dhidi ya maadui zake kwann aonekane ni threatPengine hujaelewa, huo ni mfumo wa kuzuia makombora yanapopigwa nchini kwao. Ukirusha bomu linanaswa juu kwa juu na kuharibiwa
Wao wanatest mitambo ya kujilinda sio kushambuliawalivyo wajinga, wao wapo huru kutest ila akitokea mwingine akitest vitu vyake anaonekana "threat" kwao. Yaani Israel na Marekani wamelaaniwa hawa watu sio bure.
kila mtu aachwe huru kulinda usalama wakeWao wanatest mitambo ya kujilinda sio kushambulia
Hapana Hata nyumbani mtoto mdogo akishika kiwembe ananyanganywa haraka lakini kijana mkubwa akishika Hata panga haulizwikila mtu aachwe huru kulinda usalama wake
Hawafanyi test ya mabomu ya kuua watu bali mtambo wa kujilinda dhidi ya mabomu. Ukipiga bomu Israel huwa linanaswa na mitambo na kupelekwa pasipo na watu kuharibiwa. Ndiyo maana Palestina waliamua kutumia njia ya mahandakikwamfano n.korea huwa anatest misiles kwa ajili ya kujilinda yeye dhidi ya maadui zake kwann aonekane ni threat
Tofautisha kat ya Defensive weapons na Offensive weapons.kwamfano n.korea huwa anatest misiles kwa ajili ya kujilinda yeye dhidi ya maadui zake kwann aonekane ni threat
offensive weapon ukiwa nayo mtu ataogopa kukuchokoza SO HAPO INAKUWA DEFENSIVE MECHANISM ila kama huna tegemwa mikwara kutoka hata kwa mijusiTofautisha kat ya Defensive weapons na Offensive weapons.
Wanazuia rocket ndogo ndogo hakuna wa kuzuia nuclear mpaka sasa ile inadondoshwa kutoka kwenye ndege.Pengine hujaelewa, huo ni mfumo wa kuzuia makombora yanapopigwa nchini kwao. Ukirusha bomu linanaswa juu kwa juu na kuharibiwa
Ndo inategemea sasa unaangalia kwa upande gan. Ila hzo SAMs hazjawahi kua ni offensive weapons ndo maaana hata kwenye ununuz wake ni wa waz na haujapigwa marufuku. Tofaut na silaha km za nuclear hata manunuz yake mpk ufanye magendo/kificho.offensive weapon ukiwa nayo mtu ataogopa kukuchokoza SO HAPO INAKUWA DEFENSIVE MECHANISM ila kama huna tegemwa mikwara kutoka hata kwa mijusi
Ha ha ha! Jibu murua kabisa! Eti magaidi nao wanataka waruhusiwe "kuchezea" atomic; maajabu!Hapana Hata nyumbani mtoto mdogo akishika kiwembe ananyanganywa haraka lakini kijana mkubwa akishika Hata panga haulizwi
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Hizo laana uliziona zilipopokelewa? how come mtu mwenye laana anakuwa na uwezo mkubwa kukushinda ewe usie laaniwa? acheni imani potofuwalivyo wajinga, wao wapo huru kutest ila akitokea mwingine akitest vitu vyake anaonekana "threat" kwao. Yaani Israel na Marekani wamelaaniwa hawa watu sio bure.
Una uhakika na ulichokiandika??? Unakumbuka ishu ya S-300SAM ambazo Iran alitaka kununua Russia 2010 na US/Israel wakalobby UN zikawa under UN ban na Iran hakuuziwa japo ni defensive kipindi hicho Rais wa Russia ni Medvedev hadi alipoongia Vladimir Putin ndo akawauzia Iran akisema hisi ni defensive weapon? Unakumbuka Syria alishalipia hisi S-300 SAM lakin US/Israel wakalobby tena? Kuna MTU kasema Hezbollah kua hataweza kurusha Katyusha missiles maana zitadakwa ikumbukwe kua na SAM haigarantii ulinzi wa 100% maana unakuta SAM battery moja mf David sling or Magic wand ina missile 12, Iron dome 8 Arrows 6 na Patriotic Sam 4 sasa zikirushwa missile in kamikaze styles or salvo of missile at once Hizo Air defence zitashindwa na zitaangamizwa na kuharibiwa tu....Kumbuka Libya alikua na S-200 SAM lakin US/NATO waliweza kuziharibu ndani ya masaa tu maana walipeleka Submarine,frigate na destroyers mbali kabisa na hizo SAM za Ghadafi then wakaanza kufire Tomahawk Cruise missile toward Libya air defences radars na SAM battery na wakaziharibu baada ya apo ndo wakaweza kufly kwa amani ktk anga la libyaNdo inategemea sasa unaangalia kwa upande gan. Ila hzo SAMs hazjawahi kua ni offensive weapons ndo maaana hata kwenye ununuz wake ni wa waz na haujapigwa marufuku. Tofaut na silaha km za nuclear hata manunuz yake mpk ufanye magendo/kificho.
Atashambuliwa na nani kama washambuliaji waapigwa narufuku ku test slaa zaoWao wanatest mitambo ya kujilinda sio kushambulia