ISP gani hapa Tanzania anatoa static IP ?

misso

Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
46
Reaction score
6
Wakuu naomba kuuliza ISP gani hapa bongo anatoa services za static IP addresses kwani nahitaji kuitumia kwenye server yangu ya nyumbani.
 
Zantel Is your best choice, lakini kunamatatizo mengine zaidi tu ya kuwa na static IP.
 
Static IP itabidi uilipie.
 
To be precise providers wote wanatoa static public ip address kwa block. kinachotakiwa ni wewe kuomba na kuelezea matumizi yake kwani kuna sheria ya matumizi ya hizi public static addresses. ninavyojua mimi hutolewa bureee!!!
 
wewe umewajaribu mtandao gani wakakupa?
 
Mkuu fafanua zaidi Zantel category ipi?
Wanazo ADSL modems au?

au ni wireless router?

Ni kwa routers, Ila licha ya kuwa na static IP bado utatakiwa ku allow incoming traffic. Another thing hapo, paper works! :wacko:
 
To be precise providers wote wanatoa static public ip address kwa block. kinachotakiwa ni wewe kuomba na kuelezea matumizi yake kwani kuna sheria ya matumizi ya hizi public static addresses. ninavyojua mimi hutolewa bureee!!!
Deleted
 
Kwa kazi anayohitaji tumia OP, haitakiwi kuwa na public IP. Private IP ndio chaguo sahihi, kwa sababu nyingi sana, moja wapo ni blacklisted IPs

jamani. private ips are not routable how can you send and receive traffics outside? well unaweza tumia private with NAT so hitaji la public lipo palepale kama static. sidhani kana una haja ya kuomba private ip address kama unajua networking
 
Ni kwa routers, Ila licha ya kuwa na static IP bado utatakiwa ku allow incoming traffic. Another thing hapo, paper works! :wacko:

Mkubwa hawa zantel ulishapata hiyo service yao?
Zantel | Part of Etisalat

nilivosoma hiyo page sijui kama ndo service unayoiongelea wewe na mbona inaonekana hamna kuvutiwa cable?
 
mkuu ulivotaja kule juu kule kwamba ISP yeyote nkajua hadi voda,tigo and airtel wana support

mkuu ninavyojua mimi hata hao uliowaandika wanatoa. ila inabidi ufuate utaratibu ili upate hizo public ips kwani kuna watu wengine wanazitumia vibaya.
 
To be precise providers wote wanatoa static public ip address kwa block. kinachotakiwa ni wewe kuomba na kuelezea matumizi yake kwani kuna sheria ya matumizi ya hizi public static addresses. ninavyojua mimi hutolewa bureee!!!

U know what you are doing mkuu
 
jamani. private ips are not routable how can you send and receive traffics outside? well unaweza tumia private with NAT so hitaji la public lipo palepale kama static. sidhani kana una haja ya kuomba private ip address kama unajua networking
Sorry, corrected my post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…