Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,061
- 144,493
Huu ndio ukweli na wakishirikisha watu kutoka taasisi zingine za kijamii itawaongezea support kubwa sana.Kwasasa hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.
Kila mtu akipigana kivyake hakuna atayemshinda muovu CCM. Lakini wazalendo wa kweli na wapenda maendeleo wakiungana hakika CCM itaangukia pua.
Sio leo sio kesho lakini hakika nakuambia watesi wataaibika mchana kweupe.
Hizi hapa chini ni tweet mbili moja katika lugha ya kiswahili na nyingine katika lugha ya kingereza alizoziandika Ismail Jussa katika mtandao wa twitter:
"Chama Mbadala kimoja KIKUBWA kukusanya pamoja vipaji vyote kutoka vyama vyote makini na makundi ya kijamii na kisha kufuatiwa na....."
"One super alternative PARTY bringing together all the cream from all serious parties and from civil society organisations and then follows...."
Tweet hizo mbili katika akaunti yake hiyo ya twitter kaziambatanisha na picha ya pamoja ya viongozi wa umoja wa UKAWA,picha ya pamoja ya Lowassa, Mbowe na Maalim Seif, picha ya pamoja ya Maalim Seif na Zitto na picha nyingine ya pamoja ya Lissu na kiongozi mmoja wa CUF.
My take:
Hii ni hatua nzuri sana na ya kupongeza kwa upinzani katika kukabiliana na CCM ila wajiandae na hujuma za hawa jamaa kwa kutumia dola na ushawishi wa "fwedha" kuwavuruga katika jitihada zao za kuunda hicho chama kimoja kikubwa.
Pia, hatua hii ya upinzani ni ujumbe tosha kuwa Magu anawafanya wapinzani wawe wamoja zaidi (anaimarisha upinzani) na kuwafanya wawe wabunifu zaidi katika kukabiliana na mabavu ya CCM.
Tutafikaa tu.
Hilo wanalijua, na kupitia umoja huu, bila shaka watashirikiana kulipigania.Tatizo sio support. Upinzani unaungwa mkono na wananchi wengi, lkn mambo hayaendi. Mfano, zenji wananchi huwa wanachagua upinzani lkn akina jecha wanachagua sisiemu. Ukitumia njia ileile uliyotumia miaka yote utaendelea kupata matokeo yaleyale. Wapinzani wakitambua kuwa dawa ya moto siyo maji ndo mambo yatabadilika
Salary Slip sioni umoja wowote ndani ya wapinzani. Siamini kama Wapinzani wamewahi kujifunza na kuwa na umoja kwa nia thabiti. Wapinzani hawajaanza leo kuungana, walianza zamani hizo. Kumbuka wakati wa vuguvugu la vyama vingi wanaharakati wa bara walikuwa na NCCR na kule Zanzibar wakawa na KAMAHURU. Baadaye hao wakaungana na CCW cha Mzee Mapalala, lakini kwa uroho wa Maalim, Mapalala akaenguliwa toka chamani!Hilo wanalijua, na kupitia umoja huu, bila shaka watashirikiana kulipigania.
Ndo wameamua hivyo mkuu,subiri matokeoSalary Slip sioni umoja wowote ndani ya wapinzani. Siamini kama Wapinzani wamewahi kujifunza na kuwa na umoja kwa nia thabiti. Wapinzani hawajaanza leo kuungana, walianza zamani hizo. Kumbuka wakati wa vuguvugu la vyama vingi wanaharakati wa bara walikuwa na NCCR na kule Zanzibar wakawa na KAMAHURU. Baadaye hao wakaungana na CCW cha Mzee Mapalala, lakini kwa uroho wa Maalim, Mapalala akaenguliwa toka chamani!
Sijui kama ulikuwepo na unafahamu nini kilitokea. Wapinzani wakaja wakaungana tena kwenye umoja fulani hivi nao haukufanya kazi. Wapinzani wakasema waachiane majimbo nayo ikawa shida wakati huo. Wakati wa bunge la Katiba tukaona wapinzani wakijumuika pamoja na UKAWA na wakaenda nayo hadi uchaguzi wa 2015; hii nayo haikufanya kazi kama ilivyotegemewa kwa sababu wa uroho na ulafi wa CHADEMA (kwa hili naamini Mtatiro hawezi wasamehe CHADEMA). Baada ya uchaguzi huo, UKAWA imekuwa al marhumu!
Kwa lugha nyepesi wapinzani ni waroho na hawawezi kuungana kwa tija; hayo ya Jusa ni maneno matupu! Hakuna ambaye atakubali kupoteza Chama chake ili kuunda umoja. Kwa mujibu wa sheria mkitaka kuwa na umoja wa vyama wenye nguvu za kisheria inabidi muue vyama vyenu ili kuunda chama kipya; Mbowe atakubali kuua CHADEMA?
We ndo unaota kuwa haiwezekani , subiri matokeo.Hizi ni ndoto za mashabiki ila viongozi wa upinzani hawawezi kukubali kupoteza mamlaka hata madogo waliyonayo, kumwambia Mbowe na genge lake la kina John Mrema waje kukubali kugawana ruzuku na CUF na ACT ndani ya chama kimoja ni ndoto ya mchana.
Ni mapambano ndugu, likishindikana hili litazaliwa jengine tu... muhimu mapambano yanaendelea na hamuwezi kutukatisha tamaa. Kwa hapa tulipofikia msitegemee kama watanzania watasarenda. Alutacontinua!Hizi ni ndoto za mashabiki ila viongozi wa upinzani hawawezi kukubali kupoteza mamlaka hata madogo waliyonayo, kumwambia Mbowe na genge lake la kina John Mrema waje kukubali kugawana ruzuku na CUF na ACT ndani ya chama kimoja ni ndoto ya mchana.
Mbona Mrema, Cheyo na Dovutwa wameweza kuungana na CCM?Hizi ni ndoto za mashabiki ila viongozi wa upinzani hawawezi kukubali kupoteza mamlaka hata madogo waliyonayo, kumwambia Mbowe na genge lake la kina John Mrema waje kukubali kugawana ruzuku na CUF na ACT ndani ya chama kimoja ni ndoto ya mchana.
Lipumba ni mccmMbona lipumba hayupo
Jiti la Mbowe naona linakuuma badoSalary Slip sioni umoja wowote ndani ya wapinzani. Siamini kama Wapinzani wamewahi kujifunza na kuwa na umoja kwa nia thabiti. Wapinzani hawajaanza leo kuungana, walianza zamani hizo. Kumbuka wakati wa vuguvugu la vyama vingi wanaharakati wa bara walikuwa na NCCR na kule Zanzibar wakawa na KAMAHURU. Baadaye hao wakaungana na CCW cha Mzee Mapalala, lakini kwa uroho wa Maalim, Mapalala akaenguliwa toka chamani!
Sijui kama ulikuwepo na unafahamu nini kilitokea. Wapinzani wakaja wakaungana tena kwenye umoja fulani hivi nao haukufanya kazi. Wapinzani wakasema waachiane majimbo nayo ikawa shida wakati huo. Wakati wa bunge la Katiba tukaona wapinzani wakijumuika pamoja na UKAWA na wakaenda nayo hadi uchaguzi wa 2015; hii nayo haikufanya kazi kama ilivyotegemewa kwa sababu wa uroho na ulafi wa CHADEMA (kwa hili naamini Mtatiro hawezi wasamehe CHADEMA). Baada ya uchaguzi huo, UKAWA imekuwa al marhumu!
Kwa lugha nyepesi wapinzani ni waroho na hawawezi kuungana kwa tija; hayo ya Jusa ni maneno matupu! Hakuna ambaye atakubali kupoteza Chama chake ili kuunda umoja. Kwa mujibu wa sheria mkitaka kuwa na umoja wa vyama wenye nguvu za kisheria inabidi muue vyama vyenu ili kuunda chama kipya; Mbowe atakubali kuua CHADEMA?
Mbowe ameshughulikia wengi. .inaonekana jamaa mtamu sana hamwishi kumtaja huku mkibana puaHizi ni ndoto za mashabiki ila viongozi wa upinzani hawawezi kukubali kupoteza mamlaka hata madogo waliyonayo, kumwambia Mbowe na genge lake la kina John Mrema waje kukubali kugawana ruzuku na CUF na ACT ndani ya chama kimoja ni ndoto ya mchana.