Converts feki wanafanya kazi walotumwa.
Hawa isis wote ni converts feki kutoka ulaya na marekani .
Kuna zaidi ya wamerekani 500 isis wote wakiwa ni converts walo "silimu" maaulum kuipindua serikali ya syria...sasa baada ya kuiharibu syria wamelekwa iraq kuleta machafuko ya kidini kati ys shia na sunni.
Pia wanatumika kuuchafua uislam.
Hivo hili ni kinamizi lao wenyewe westen countries wala wasidanganye watu
Sasa si ukawashitaki kwa miungu wako wamarekani?,unakuja kutulalamikia hapa kwani sie ni mahakama?.Uislam upi sasa msafi unaochafuliwa? Huyo Caliph Baghdad naye ni mmarekani? Aya gani wanayoitumia ambayo haipo kwenye kurani? Nani anayewasilimisha? Mbona shehe wenu mmoja wa anasa sunar, amatoa cd anasifia kwamba huo ndio uislam wa kikweli kweli? Tumwamini nani?
Hivi wewe mtu anaweza akakuambia umkane Mungu, umwabudu shetani, uende ukabake, uibe, uchinje watu bila taratibu, uvae mabomu, umuage mama yako ili ikitokea hujabahatika kupona iwe salama dog, kwa maslahi ya anayekutuma, kwa hiyari yako unakubali kufanya hivyo?
Western countries zimesaidia katika maasuala ya technologia na mbinu za kivita kama vile sisi tunasomesha ma afisa jeshi kutoka nchi nyingi duniani kwa malengo ya kawaida. Lakini matumizi ya utaalam huo, katika kuteka, kuchinja kunakofanywa, kumechochewa na mafundisho ya uislam ambao ni uncontrollable, yasiyoeleweka kwa wafuasi wake, yanayoshadadia mauaji , yanayoasisi visasi na kutokukubali suluhu, na yenye tafsiri za aina mbalibamli na asili ya kutoonyesha thamani ya damu ya mtu. Hayo mafundisho ndiyo hasa yanawatia hamasa ya kufanya lolote kwa jina la dini hiyo.
Kuna hitajika hatua za makusudi za viongozi na waislam wenye mtazamo kama wako, kuanza kampeni maalumu ya kufundisha upendo, kusamehe na kusameheana, kumuheshimu Mungu na kumwachia nafasi yake badala ya waumini kuchukua nafasi ya Mungu, ikiwa na pamoja na kufundisha kwamba mauaji ni dhambi na adhabu yake ni motoni. Pengine kazi itakuja pale kwenye kupata mistari kwenye kuruani inayokataza uovu huo na kufundisha uzuri.
Au wewe unasemaje?
Mkuu nina appreciate sana huruma yako kwa hao walebanon,ila nikuulize kwanini wakati wanachinjana wamexco sijakusikia ukipay attention,au ni kwasababu ni wakatolic?ukaona upotezee.[h=1]Islamic State a.ka habari ya mujini, beheads 2nd captive Lebanese soldier.[/h]BEIRUT (AP) The mother of a Lebanese soldier held captive by the militant Islamic State group said photographs posted online Saturday purporting to show his beheading appeared to be real.
[h=2][/h]
Zeinab Noun said her 20-year-old son, Abbas Medlej, was "sacrificed" after supporters of the militant Sunni group posted images appearing to show a captured Lebanese soldier before and after he was beheaded.
"My son was sacrificed," said Noun, clutching a passport-sized photo of her son, a handsome, smooth-faced young man.
Medlej hailed from a large Shiite clan from the eastern Lebanese city of Baalbak. His mother vowed revenge on rival Sunnis. "We have to take our revenge from those apostates," she said.
The captured soldiers and police are from Lebanon's many religious sects: the first soldier beheaded by the group, Ali Sayid, was a Sunni Muslim. The militants are also holding Christian soldiers and other Sunni Muslims.
Link:
Islamic State beheads 2nd captive Lebanese soldier
Aaah,ju nimejipata na kichefuchefu ghafla kwani kila napokuta post yake anatulalamikia tu,ooh isis,ooh blaahblaah,sa anadhani hapa mahakamani or what?,au anataka sie tufanyeje?jamaa unahasira, huyo anamjibu mtu mwingine ww umefanya kudandia treni kwa mbele, unatokwa mapovu kama nini,
tulizana mkuu
We huwajui wakristo siasa zao, unajua kuna wakati wanachekesha sana, unapo sema Allah wanajidai eti Allah si Mungu.Converts feki wanafanya kazi walotumwa.
Hawa isis wote ni converts feki kutoka ulaya na marekani .
Kuna zaidi ya wamerekani 500 isis wote wakiwa ni converts walo "silimu" maaulum kuipindua serikali ya syria...sasa baada ya kuiharibu syria wamelekwa iraq kuleta machafuko ya kidini kati ys shia na sunni.
Pia wanatumika kuuchafua uislam.
Hivo hili ni kinamizi lao wenyewe westen countries wala wasidanganye watu
We huwajui wakristo siasa zao, unajua kuna wakati wanachekesha sana, unapo sema Allah wanajidai eti Allah si Mungu.
Wakati kilugha haswa kabla ya kurudishwa uislam kwenye right track na Prophet Muhammad, Biblical archeological findings have GOD Almighty as "Allah". So the Original Holy Name for GOD Almighty is not Eloh. It is Allah! Eloh is a Hebrew dialect, which not all Hebrew speakers use anyway. Allah had always been the Original and Universal GOD Almighty even before birth of Judaism, and the existence Hebrew. And Hebrew is a developed language from Phoenician.
Kwa hio hawa watu kujaribu ku uchafua uislam haujanza leo, wamemkataa Mungu kwa kusema Allah ni shetani, wakati wanaju wazi Allah ndio Mungu na wakristo na wayahudi walitumia ne hilo kumuita Mungu kabla ya kuja Uislam tena kwa njia ya Prophet Muhammad, wamejaribu kupoteza kabisa lugha hapo ili ionekane neno Allah si Mungu.