ISIS wateka Palmyra

Status
Not open for further replies.

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
Jiji la Palmyra lipo Kl215 kaskazini mwa mji mkuu wa Syria Damascus,huu mji ulijengwa kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo na ulikuwa unatumika na wasafiri waliokuwa wakisafiri kuvuka jangwa la Syria.

Palmyra ni mojawapo ya majiji yaliyokuwepo kabla ya Yesu Kristo,hili jiji linasemekana lilikuwepo wakati wa mfalme Sulemani,Inawezekana Isis wakaliharibu au kuvunja muonekano wake.
 

Attachments

  • Diocletian's_Camp,_Palmyra_01.jpg
    207.6 KB · Views: 236
  • 1024px-Grande_collonade_street06(js).jpg
    103 KB · Views: 223
  • 1024px-Palmyra_theater02(js).jpg
    108.5 KB · Views: 223
  • 1024px-Temple_of_Baal-Shamin,_Palmyra.jpg
    95.6 KB · Views: 215
Hii Habari imenisikitisha sana, Hawa vichaa wataaribu hiyo site .
 
Sidhani kuharibu majengo haya ni moja ya wanachokihitaji hawa ISIS,lakini ikitokea wapo hapo na kuna mapambano basi majengo yataharibiwa maana wengine hushusha tu mabomu bila kujali kilichopo chini
 
Sidhani kuharibu majengo haya ni moja ya wanachokihitaji hawa ISIS,lakini ikitokea wapo hapo na kuna mapambano basi majengo yataharibiwa maana wengine hushusha tu mabomu bila kujali kilichopo chini

Hujawafuatilia ISIS bila shaka, maeneo ya kihistoria kote walipoteka wameyateketeza
 
Hadi leo sijajua ISIS wanapigana kwa ajili ya nani maana wanaua Waislamu wenzao....
Kwanini wasiende kwa Adui wao Israel au Saudi, Katar etc
 
Hujawafuatilia ISIS bila shaka, maeneo ya kihistoria kote walipoteka wameyateketeza
Basi ni watu wa ajabu sana maana sidhani kubomoa majengo kunawapa faida yoyote.
 
Nimesoma hii habari inaonekana sasa assad maji yapo shingoni jamaa muda wowote wataingia damascus. Hii inatokana na mzozo wa yemen kwani saudi na washirika wake wameona watumie nguvu nyingi yemen kwa wahuthi ambao ni tishio kwao na wameamua kutumia nguvu ndogo kwa isis ili kumkomoa assad pamoja na iran. Inaonekana tishio kubwa la saudi arabia ni iran na sio isis. Natabiri serikali ya assad kuanguka muda si mrefu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…