shortlisted1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 352
- 128
Wana@mgambo wa ISLAMIC STATE wametoa viseo inayoonyesha muingereza Allan Hanning akikatwa kichwa. Na bwana huyo alipopewa mda wa kuzyngumza kabla ya kunyofolewa kichwa chake alionekana kulilaume Bunge la Uingereza kwa kuamua kushirikiana na Marekani kuwapiga mabomu ISLAMIC STATE. Na kama ilivyokawaida baada ya kuchunjwa kwa bwana Hanning mwishoni ilionyeshwa video ya mateka mwingine ambaye ni Mmarekani bwana Peter Kasas ambaye na yeye kichwa chake kitanyofolewa kama amerika wataendelea kuwalipua raia ndani ya ISLAMIC STATE.
Kwengineko Wanamgambo machachari wa Boko Haram wametoa video inayoonyeshwa wakichinja mtu ambaye inasemaekana ni PILOT wa jeshi la Nigeria ambayo ndege yao ilipotea takribani wik tatu zilizopita pia ndani ya video hiyo Jemedari la kivita Aboubakar Shekau alionekana akiwa na afya njema kabisa licha ya jeshi ka Nigeria kudai kwamba walimuua. Updates zitaendelea kupatikana.
Video zao za Hollywood wasitudanganye.Wana@mgambo wa ISLAMIC STATE wametoa viseo inayoonyesha muingereza Allan Hanning akikatwa kichwa. Na bwana huyo alipopewa mda wa kuzyngumza kabla ya kunyofolewa kichwa chake alionekana kulilaume Bunge la Uingereza kwa kuamua kushirikiana na Marekani kuwapiga mabomu ISLAMIC STATE. Na kama ilivyokawaida baada ya kuchunjwa kwa bwana Hanning mwishoni ilionyeshwa video ya mateka mwingine ambaye ni Mmarekani bwana Peter Kasas ambaye na yeye kichwa chake kitanyofolewa kama amerika wataendelea kuwalipua raia ndani ya ISLAMIC STATE.
Kwengineko Wanamgambo machachari wa Boko Haram wametoa video inayoonyeshwa wakichinja mtu ambaye inasemaekana ni PILOT wa jeshi la Nigeria ambayo ndege yao ilipotea takribani wik tatu zilizopita pia ndani ya video hiyo Jemedari la kivita Aboubakar Shekau alionekana akiwa na afya njema kabisa licha ya jeshi ka Nigeria kudai kwamba walimuua. Updates zitaendelea kupatikana.
Joshua muhuni tu yule, anapiga hela tu yuleHuyu shekau si nabii joshua alimuombea akafa baada ya kuporomoa jengo lake,ina maana kafufuka tena?
Video zao za Hollywood wasitudanganye.
Ndio njia rahisi ya ku divert ukweli?
Kwamba Dola ya Kiislam walifukuza Wakristo, Yazidi na wengine wakaua waume, watoto na kubaka halina mjadala.
Kwamba wameua kwa kuchinja wanajeshi wa Iraq, Syria, Lebanon na raia wanowahisi ni majasusi ikiwemo Foley, Sotloff, Haines na sasa Henning liko wazi. Henning alikwenda kusaidia watu wa Syria akiwa narafiki zake waislam ila peke yake ndio katekwa na kuuawa.
Kwamba insipiration ya matendo ya Isil ni Koran, halina Ubishi. Mahakama za Isil zinazotoa hukimu hizi zinatumia Koran na Sunna. Isil sio magaidi hata kidogo, nakataa.
Isil ni kama tu walivyo Hamas au Hezbollah Al Shabab, Taleban, Boko Haram, na wengine wanaojilipua wakidhani ni ibada kwa Mungu.
Huwa nawahurumia maana sekunde chache baada ya kujilipua hugundua wamedanganywa na hawawezi ku reverse destination
Habari za sweden mkuu,ushamaliza kuosha vyombo?Mi nafurahi sana pale wanavyowachinja wabinua masabur wenzao kwa kisingizio cha kuswali. Very funny people they hate and kill each other. Hadi saudia ss iv kutoa visa kwa wabinua masabur kwenda kuij imekuwa nongwa. Ala naye muoga palestina inabondwa kachuna tu anagwaya israel na huku anatetewa pathetic being and helpless. Mtabak mkifa mnakamuliwa mavi muingie peponi et wasafi wtf! Pathetic people pathetic faith
Joshua muhuni tu yule, anapiga hela tu yule
Habari za sweden mkuu,ushamaliza kuosha vyombo?
Kaka hii law ni yakwako duh hapo kwenye opposite direction umechemsha inatakiwa kuwa opposite reaction.Newton's 3rd law of Motion: For every action there is an equal reaction in an opposite direction.
Duh itakuwa ni hii keyboard ndo ina mambo ya ajabu. Asante kwa kulitambua hilo.Kaka hii law ni yakwako duh hapo kwenye opposite direction umechemsha inatakiwa kuwa opposite reaction.
Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.