Hehehehe haw jamaa noma. Lakini ndio vita. Ulifikiri kuna kuimba mapambio hapo.
Hao wanaouliwa ni traitors na enemies wa isis. Ndio vita hio sasa sijui cha ajabu nini?
Hao wamarekani na brits kwasababu wanaua kwa mabomu ya drones basi hio haiwashtui.
Mmarekani akiua yeye sio katili bali anataka kuwakomboa, ila muarabu akiua basi ni shetani kabisa!
What hypocrasy (sp)!!
Kauli mbiu ya mossad ni kuwa,''BY DECEPTION THOU SHALT START WARS''.
Yaani wataanzisha vita kwa udanganyifu,yaani watatumia uongo na trick chafu kusababisha vita duniani,na ndo yanayotokea hapo mashariki ya kati na ukraine.ili kuelewa zaidi google hayo maneno utapata infor zote.
kuna kitu kinatafutwa hapo,yule mmarekani wa mwisho kuwa beheaded kumbe ni mossad agent na wataalamu wa video wanasema it is fake,na kuwa imetumiwa hiyo move kwa malengo maalumu na jamaa anaweza kuwa hai kafichwa na kupewa new identity.
hivi karibuni uingereza ilikua inagoma kushiriki kampeni dhidi ya isis na kisha leo raia wake amekua beheaded,ni kama kwamba kuna watu wanataka uingereza ishiriki.mantiki inakataa kuwa isis wako hatarini kushambuliwa na mataifa kibao halafu wazidi kuyachochea mataifa hayo yawashambulie,logic ni kuwa hawa isis wanataka majeshi ya magharibi yaingie hapo,kwa faida ya nani?.
who will benefit?,I.S.R.A.E.L.
Pote,hivi hujiulizi kwanini ukienda iragnews.com utaona ni irag airforce ndo wamekua wakiua hao isis kwa mamia kilasiku,na kwa syria ni syria airforce ndo wanawateketeza,hata leo wamewabomb isis 18 mpaka mchana ya leo,lakini umesikia marekani wamefanya nini,ukiacha habari za wiki tatu walipokua wanawasaidia wakurd kule kaskazini,ambako kuna kampuni lao la mafuta?.Ya somalia na Alshabab pia? au Ya bokoharam na Nigeria pia?
Wazungu wakae kwao ili ISIS wachinje waarabu wenzao? hunaakili wewe.
Ya somalia na Alshabab pia? au Ya bokoharam na Nigeria pia?
Vikundi vyote ulivyotaja ni vya uadui ila misingi yao sio DINI. Watu wanataka uhuru wao au ni ma racist. Unaweza kuongeza black panthers hapo. Pia kuna vikundi vya ujambazi na uchawi. Pia unaweza kuongeza hapo. Skin head wa Poland atakupiga wewe kwa kuwa ni black hata kama wewe ni padri wa Catholics. UADUI HAUNA KABILA WALA DINI ila kuna DINI ZINA UADUI NA UBAGUZI (or rather say people using religion to build uadui).Hivyo vikundi ulivyovitaja HAVINA TOFAUTI YYT NA IRA (CHRISTIAN Terrorist) ya Ireland.
ETTA (Christian terrorist) ya Spain KKK (Christian) ya USA.
Na list goes on like all of these CHRISTIAN TERRORIST GROUPS.
Army of God - USA (early 1990s-present)-
-The Lambs of Christ - USA (1998)--Irish National Liberation Army - UK (1974-Present)-Irish People's Liberation Organisation - UK (1986-1992)--Irish Republican Army - Northern Ireland (1922-1969)-Official IRA (1969–present)-Provisional Irish Republican Army-Ulster Volunteer Force-'Orange Volunteers-United Liberation Front of Asom-ETA (Basque Fatherland and Liberty) - Spain-Liberation Tigers of Tamil Eelam (LTTE, aka Tamil Tigers) - -Sri Lanka-National Front for the Liberation of Corsica (FLNC)-
-Corsican separatist-Action Directe (AD), an anti-NATO organization--Antifascist Resistance Groups October First (GRAPO)
-Spain (1975-present)-New People's Army - Philippines-Red Army Faction (RAF) aka Rote Armee Fraktion aka-
-Baader-Meinhof Group - Germany (1970 – 1993)--Revolutionary Armed Forces of Colombia (FARC) - Colombia-Aryan Nations - United States[2] (1970s-)--Charles Martel Group - France (1973-83)[2]--The Covenant, The Sword, and the Arm of the Lord (CSA) - -United States[2] (1971-)--Ku Klux Klan - United States (founded in 1865 and revived several times since).-Masada Action and Defense Movement - France (1988-89). -French racists pretending to be Zionist radicals.
UADUI HAUNA KABILA WALA DINI.
Acheni unafiki wa kuona sehemu moja tu.
Hata wewe mbona umesema Allahu Akbar kwa hio ni muislam , kweli mjinga huwa ananaswa tu kama tunavyo mnasa mtume wako Paulo siku zote na bibilia yake ya kishoga. sa we ni kafiri au muislam?Na allahu akbar wakati wanaua wamefundishwa na nani? And please: JF ni uwanja wa malumbano na sio sehemu ya kutukanana. We exchange views because, kufundishana na kukosoana na sio kuitana wajinga nk kutokana na imani zetu tofauti. We should have zero tolerance.
Hakuna Binaadamu mwenye akili timamu AKAPENDA MAUWAJI!!!
Ni watu km wewe ndio mnaosambaza unyama huu na kuwapa vichwa hao WAUWAJI.
Unasambaza hii video kwa Malengo yapi km sio KUSAMBAZA UOVU KTK JAMII?
Na watu wakishaona ndio wafanye nini sasa!
Shame on you.
Aaa aaa! Wazungu waende wakaue watoto na wanawake km kawaida yao.
We ndo una akili sana!.
Na kwa akili zako zilivyo nyingi unategemea kuwa wazungu wanapenda sana HAKI na Wanawaonea Huruma WAARABU na wako tayari kupeleka watu wao wakafe ili kutetea Waarabu sio?
Watu wenye akili za namna yako ndio waliowakaribisha WAKOLONI ktk Fukwe zetu na kuwachapa waafrika wenzako kwa kumridhisha mzungu.
Hata aibu huna.
Hao wazungu wako walikuwa wapi wakati WAHUTU wanachinja WATUSI?
Wazungu wako walikuwa wapi wakati mandela anaitwa GAIDI kwa kutetea haki za muafrika?
Wazungu wako walikuwa wapi wakati wazungu wengime wakipiga Bom la Nuklia huko hiroshima na nagasaki
Au akili zako nyingi zilikuwa likizo!!!
Yaani watu wanauawa, mtu anayetuhabarisha ndio unamshambulia ! Wewe ni mtu wa aina gani ?
Kama habari za wauaji na unyama wao usipojulikana, watu watawezaje kuwajua na kupambana nao ?
Shame on you !
Kwa hiyo kama Baba na babu zako au viongozi waliopita walishindwa kufanya majukumu yao na wewe inabidi uache !. Logic ya wapi hii ?
Unyama wa Watusi uliujua Kipi ulikifanya?
Unyama wa Wayahudi kwa Waafrika weusi wanaoishi huko unaujua Kipi unakifanya?
Hata Unyama wa wabadhilifu wa serikali yako Unaujua na kuuona mbele ya macho yako Kipi unafanya zaidi ya kufungua hilo domo lako na kutapika pomba haramu tu?
Kutangaza unyama wa hawa watu ni kuwapa Promo za bure lkn miafrika sijuo lini itakuja pata fahamu.!