bright platnumz
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,740
- 3,659
Hahahahaa we jamaa huwa unanifurahisha sanaMazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha
Mbuzi mwenyewe amekataa kambaMkuu hii kamba ya kufungia mbuzi
hakika chai tena ya rangiChai hii
labda iwe hiviLe mutuz ndio Rick Ross
Le mutuz kawa Rickross?
Mazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha