Isingekuwa Rickross kuongea na Diamond jana,jamaa angemkataa mtoto

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,481
20,423
Mazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na hasara za kukataa watoto nakumuomba kama itatokea Diamond kuhitaji msaada basi asiache kumcheki.
Baada ya mazungumzo hayo Rickross alimpigia simu Mobeto nakumwambia awe na amani ameishamliza kusort out mambo kabla ya kumpigia simu Zari kumuandaa kisaikolojia.
Chanzo kimenyetisha
 
I kamba hatari sana
 
Yaah ni kweli mkuu.

Pia kuna video mpya ya Rickross Mobeto amepata nafasi ya kuwa video vixen.

Sasa ili kuweka mambo sawa ilibidi awapatanishe kwanza kabla ya Hamisa kukubali kufanya kazi na Rickross.
 
Kwahiyo Rickross pia amemshari Mobeto kupost intimacy pictures zake na Diamond?
 
HhaaahaHahhaahahh.. hii kali, kama ulikuepo yani, unatushika tuu maskio acha uongo bwana, sio lazma upost kuhusu daimond mambo yapo meng acha uongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom